Yaliyojiri Uwanja wa Taifa, mpira kati ya Yanga ya Tanzania na APR ya Rwanda, Yanga imesonga mbele

Yaliyojiri Uwanja wa Taifa, mpira kati ya Yanga ya Tanzania na APR ya Rwanda, Yanga imesonga mbele

Tukumbushane unakumbuka asernal alifungwa na buryn 3_1 nyumbani kwa na aseno akampiga buyrn 2_0 lakini afuzu buryn kwa nini?
 
Hapana, ingeenda Extra Time
Magoli ya ugenini yanaanza kuhesabiwa kama mmelingana idadi ya magoli
Mechi ya Kwanza APR 1 Yanga 2
Mechi ya Pili Yanga 0 APR 1

JUMLA APR 2 Yanga 2, lakini Yanga ana faida ya kufunga magoli 2 ugenini so Yanga angepita game itaongezwa dakika kama APR atashinda 2-1 hapa Dar kama Yanga alivyoshinda kule Kigali
 
Yanga hata wacheze na Bokoharamu nashabikia Bokoharamu. Wangetolewa ningefurahi na kujichinjia kambuzi
 
Kwa mpira huu ata akipita atakuta na wabishi watamcheda hata 5 bila
 
Yanga wanapoteza tu pesa na muda. Natamani kweli wafike mbali, mimi ni mzalendo. Najua watapita kwa APR lakini, mwisho wao utakua hatua inayofuata atatolewa tu na waarabu..it is given watafungwa. Yaani natamani siku itokee wawatoe hawa waarabu hata kwa bahati mbaya lakini sidhani labda mwaka 2090 hili litatokea.
 
Umenikumbusha wale UKAWA kule siasa eti nampenda sana magufuli ila tatizo mfumo teh haya pole mkuu
 
wakimataifa washapigwa kamoja dakika ya tatu..
Wamemgomea azam kuirusha mechi yao live
APR..1: 0 Yanga..
Goli lilifungwa dakika ya tatu
....dakika ya 28
Ngoma anasawazisha ..
Yanga 1:1kagame.
We si upo taifa? Lete news maana uko ki mchangani zaidi
 
Back
Top Bottom