Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, mzungu kachungulia fursa ,yule liquid kaishia wapi
Mimi nimehamia brazil na argentina na brazil wanakosa penati
Nikama huyu mzee alitengua kauli (mwaka huu nadhani ilikua ni kwenye mechi ya Simba natimu gani Sina kumbukumbu vizuri)Jitahidi tu uzoee kama sisi wenzako. Ile kauli ya Rais mtaafu Ali Hasaan Mwinyi ya kwamba Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu! bado inatutesa mpaka leo ingawa tumejaribu mara kadhaa kuondokana nayo, lakini ndiyo hivyo tena.
Leo zam ya equatorial kunyoaJitahidi tu uzoee kama sisi wenzako. Ile kauli ya Rais mtaafu Ali Hasaan Mwinyi ya kwamba Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu! bado inatutesa mpaka leo ingawa tumejaribu mara kadhaa kuondokana nayo, lakini ndiyo hivyo tena.
[emoji23]
Safisha macho na brazil na argentinaMpira wenyewe wa hooovyoooo
Hapo ndo nashangaa....TFF Wana commission.Ndailagije atuachie timu yetu aende nchi yao mbona tuliwafunga iweeje wawe na kocha wa kuzidi sisi? [emoji86][emoji86][emoji86]
Nshawaambia hawa ni wetu tu