Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Taifa Stars 2 - 1 Equatorial Guinea

Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Taifa Stars 2 - 1 Equatorial Guinea

Alafu asingrkuwa mzungu black kama Mimi asingepata attention. Waafrika tunatatizo mahala..
Au ww hapo nenda uingerza nawe jiganye bongozozo kwa waingereza kama utapta attention kwao
Hahahaha, mzungu kachungulia fursa ,yule liquid kaishia wapi
 
Jitahidi tu uzoee kama sisi wenzako. Ile kauli ya Rais mtaafu Ali Hasaan Mwinyi ya kwamba Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu! bado inatutesa mpaka leo ingawa tumejaribu mara kadhaa kuondokana nayo, lakini ndiyo hivyo tena.
Nikama huyu mzee alitengua kauli (mwaka huu nadhani ilikua ni kwenye mechi ya Simba natimu gani Sina kumbukumbu vizuri)
 
Jitahidi tu uzoee kama sisi wenzako. Ile kauli ya Rais mtaafu Ali Hasaan Mwinyi ya kwamba Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu! bado inatutesa mpaka leo ingawa tumejaribu mara kadhaa kuondokana nayo, lakini ndiyo hivyo tena.
Leo zam ya equatorial kunyoa
 
Goal ! Simon Happygod Msuva awanyanyua vitini waTanzania kwa goal safi kabisa uwanja wa Taifa Dsm

Dakika 68'

Tanzania 1 : 1 Equatorial Guinea
 
Dakika ya 73'

Tanzania 1 : 1 Equatorial Guinea

Tanzania yanyimwa penalti referee apeta, vipi Obieng wa Equatorial Guinea wenye pesa mingi ya mafuta wana mbinu sana
 
Back
Top Bottom