Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safisha macho na brazil na argentina
Inaendelea muda huuSaa ngapi mkuu
Mtangazaji wa TV wa kibongo alitutangazia ilipofika dakika ya 77, eti ni dakika ya 77 KIPINDI CHA PILI!Dakika ya 73'
Tanzania 1 : 1 Equatorial Guinea
Tanzania yanyimwa penalti referee apeta, vipi Obieng wa Equatorial Guinea wenye pesa mingi ya mafuta wana mbinu sana
Kagongee nyagiHaka ka-refa kasenge!!!!!!!!
Nshawaambia hawa ni wetu tu
KwambaTayari
Ngoja tuone. Maana hata ile mechi na Sudan, vijana walitokea nyuma na mwisho wa siku kuondoka na ushindi wa 2 - 1.
Hamuendi popote nawaambia.Hakuna kufuzu