Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Taifa Stars 2 - 1 Equatorial Guinea

Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Taifa Stars 2 - 1 Equatorial Guinea

Dakika ya 73'

Tanzania 1 : 1 Equatorial Guinea

Tanzania yanyimwa penalti referee apeta, vipi Obieng wa Equatorial Guinea wenye pesa mingi ya mafuta wana mbinu sana
Mtangazaji wa TV wa kibongo alitutangazia ilipofika dakika ya 77, eti ni dakika ya 77 KIPINDI CHA PILI!
Wanaokotwa wapi hawa?
 
Dakika 85'
Tanzania 1 : 1 Equatorial Guinea

Kipa wa Equatorial Guinea anaaza kupoteza muda kwa kujiinamia na maumivu akiwa pekee yake langoni.
 
Taifa star's ikiwa haina kocha mkuu tunashinda vizuri sana, ila ikipewa tu kocha mkuu dah kichwa cha mwendawazimu kinarudi*
 
Tanzania 2 : 1 Equatorial Guinea

Dakika 90' + 4 za nyongeza = 95' Full time mpira umekwisha hapa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Magoli ya Tanzania Simon Msuva 63' na Abubakar Salum 93' huku Equatorial Guinea likifungwa na Obiang'.

Super Coach wa Tanzania Etienne Ndirangiye na wa Equatorial Guinea walambishwa kadi za njano ktk mchezo huu kuelekea fainali huko Cameroon 2021.
 
Back
Top Bottom