DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Cheers, dudeNa mpiraaaaaaa umekwishaaaaa.
Yanga wanaondoka kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City.
Ubingwa umekaribia Jangwani,wanazi wenzangu wa Yanga endeleeni kushona suti na shampeni...
Hongereni mashabiki wote wa Yanga.
Ushindi huu tumpe mwenyekiti wetu Manji kama zawadi kwa magumu aliyopitia.
Cheers [emoji323] [emoji485]
MaliziaOyooooooooooooooo!!
CCC..
CCCC...
CCCC...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi waliemtuma kupeleka rufaa FIFA hajarudi bado na majibu.!Itabidi tumpige na Mbao FC halafu tuandike barua TFF kuwaomba wawarudishie Simba points zao za Kagera Sugar
Unasemaje mkuu?Haya bhana!
Mikia FC wamekimbia, kabaki Katavi tu. Nampongeza Katavi kwa ukomavu huu wa kisokaNakuja mkuu
Nyuma mwikoDaima mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Itabidi tumpige na Mbao FC halafu tuandike barua TFF kuwaomba wawarudishie Simba points zao za Kagera Sugar
bahati yenu mkuu.Baadaye ipi mkuu? Hapa tunasubiri filimbi ya refa tu mpira uishe.
Simon MsuvaHivi mpaka sasa mchezaji gani anaongoza kwa kufunga magoli mengi ?
Tena Mbao nina hasira nao sana,ile siku sijui ilikuwaje hadi tukapoteza ile mechi [emoji16]Itabidi tumpige na Mbao FC halafu tuandike barua TFF kuwaomba wawarudishie Simba points zao za Kagera Sugar
Hah hah hah safari yangu naiona chungu na popcorn zangu nimemwaga hah hahUnasemaje mkuu?
Ana magoli mangapi pia anafatiwa na yupi?Simon Msuva
Pole mkuuHah hah hah safari yangu naiona chungu na popcorn zangu nimemwaga hah hah
Nitaumia leo mkuu ila tambua bado nakuombea njaa hah hhaPole mkuu
Mbao itabidi tuwarande na panga lenye kutu.....Ninahasira nao sana wale viumbe.Tena Mbao nina hasira nao sana,ile siku sijui ilikuwaje hadi tukapoteza ile mechi [emoji16]
Hahahaaaaaaa pole sana mkuu,baada ya ushindi wa mechi ijayo ni wazi ushindi ni wetu...unasemaje hapo mkuu? [emoji39]Hah hah hah safari yangu naiona chungu na popcorn zangu nimemwaga hah hah