Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Mikia FC wamekimbia, kabaki Katavi tu. Nampongeza Katavi kwa ukomavu huu wa kisoka
Katavi ndio wale wanaoingia uwanjani na nazi
....yaani baada ya kuja tu kwenye thread MBC wakarudisha...ila tumemdhibiti kwa ndimu na vitunguu swaumu....
 
Katavi ndio wale wanaoingia uwanjani na nazi
....yaani baada ya kuja tu kwenye thread MBC wakarudisha...ila tumemdhibiti kwa ndimu na vitunguu swaumu....
Hahahaha. Wana kazi sana hawa. Leo MBC wangeshinda mikia wangetusumbua sana huku mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…