DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Kisasi kinawahusu Mbao. Haiwezekani watufunge mara 2 ndani ya mwezi mmoja. Khaa.Nani kasema kwamba Yanga atapata nafasi kwa Mbao thubutuuuuu, kule kama hamjapigwa mna-draw iwe isiwe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisasi kinawahusu Mbao. Haiwezekani watufunge mara 2 ndani ya mwezi mmoja. Khaa.Nani kasema kwamba Yanga atapata nafasi kwa Mbao thubutuuuuu, kule kama hamjapigwa mna-draw iwe isiwe!
Mpira ulikuwa wa presha uwanja uliinama upande wetu nikashindwa Ku update nilikuwa nabinya kende tu wapaisheHalafu uliisusa thread yako,mpira umeisha ndo unakuja [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha.Mpira ulikuwa wa presha uwanja uliinama upande wetu nikashindwa Ku update nilikuwa nabinya kende tu wapaishe
Yangu mie macho na masikio tu!Kisasi kinawahusu Mbao. Haiwezekani watufunge mara 2 ndani ya mwezi mmoja. Khaa.
Hahahaha. Wana kazi sana hawa. Leo MBC wangeshinda mikia wangetusumbua sana huku mitaani.Katavi ndio wale wanaoingia uwanjani na nazi
....yaani baada ya kuja tu kwenye thread MBC wakarudisha...ila tumemdhibiti kwa ndimu na vitunguu swaumu....
Yanga tuna adui mmoja tu Simba,hao wengine sio maadui wetuAdui wa adui ni rafiki,vipi akiwa adui yako na adui wa adui yako? [emoji134]
Simba sc ni msindikizaji wetuYanga tuna adui mmoja tu Simba,hao wengine sio maadui wetu
Kweli walivyo sawazisha tu ilikuwa balaaHahahaha. Wana kazi sana hawa. Leo MBC wangeshinda mikia wangetusumbua sana huku mitaani.
HAWATUWEZIIIIIIIIIIIIIIIIIIZidisha maombi mkuu,hapa wakichomoa tu basi.
Dah mpira uishe tu.
Sana hawa wa matopen wajiandikie tuAseeh gemu mbili mkononi raha sana
Kufungwa Yanga na Mbao safi...Mikia fc hawapandi ndege mwakaniTena Mbao nina hasira nao sana,ile siku sijui ilikuwaje hadi tukapoteza ile mechi [emoji16]
Full shangweeee sasa karibia kitu roho inapendaMpira umeisha mkuu,Yanga imeibuka na ushindi wa magoli 2-1.