Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

HT
Yanga 1-0,mpira umepoa hadi unaboa,dah.

Pengo la Msuva limetugharimu sana Yanga,baada ya Msuva kutoka sijamsikia Tambwe wala Chirwa.

Ashukuriwe Mungu haikuwa hivyo kwenye mechi ya Kagera Sugar,habari ingekuwa nyingine.
 
Leo tukishinda ni kudra za Alla'h timu imepoteana kwenye king.
 
Simba walikuwa na ushangiliaji wao walikuwa wanapiga lile litarumbeta lao huku wakiimba eeeh! Kidedea.hapo ujue kuwa vijana matata akina George masatu wamefanya yao
Tunaongelea kabla ya hapo (80's)
 
HT
Yanga 1-0,mpira umepoa hadi unaboa,dah.

Pengo la Msuva limetugharimu sana Yanga,baada ya Msuva kutoka sijamsikia Tambwe wala Chirwa.

Ashukuriwe Mungu haikuwa hivyo kwenye mechi ya Kagera Sugar,habari ingekuwa nyingine.
Ikiwa hivi kipindi cha pili yanga mnaweza kufungwa.
 
Kuna mijitu humu imeanza kuleta ungese wa vyama,bora ingeanzisha thread yao,humu ni updates za Yanga na Mbeya city tu.
Tulia mkuu,hakuna aliyetoka nje ya mada.
Ni utani tu wa hapa na pale [emoji4]
 
HT
Yanga 1-0,mpira umepoa hadi unaboa,dah.

Pengo la Msuva limetugharimu sana Yanga,baada ya Msuva kutoka sijamsikia Tambwe wala Chirwa.

Ashukuriwe Mungu haikuwa hivyo kwenye mechi ya Kagera Sugar,habari ingekuwa nyingine.
Duuh siku hizi mpo kwenye Jukwaa hili tuu!

Back
Top Bottom