idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Akina nani.?Wanashambuliwa kwelikweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akina nani.?Wanashambuliwa kwelikweli
Mkuu upo?Wanashambuliwa kwelikweli
Nipo mkuuMkuu upo?
Yanga hahahaahAkina nani.?
Tunaongelea kabla ya hapo (80's)Simba walikuwa na ushangiliaji wao walikuwa wanapiga lile litarumbeta lao huku wakiimba eeeh! Kidedea.hapo ujue kuwa vijana matata akina George masatu wamefanya yao
Karibu sana kushangilia ubngwa Jangwani.Nipo mkuu
Ikiwa hivi kipindi cha pili yanga mnaweza kufungwa.HT
Yanga 1-0,mpira umepoa hadi unaboa,dah.
Pengo la Msuva limetugharimu sana Yanga,baada ya Msuva kutoka sijamsikia Tambwe wala Chirwa.
Ashukuriwe Mungu haikuwa hivyo kwenye mechi ya Kagera Sugar,habari ingekuwa nyingine.
Mtaniiiiiiiiii,mechi zenu huonekani.Wanashambuliwa kwelikweli
Itakua umegeuza tv unaangalia kutokea nyuma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanga hahahaah
Tulia mkuu,hakuna aliyetoka nje ya mada.Kuna mijitu humu imeanza kuleta ungese wa vyama,bora ingeanzisha thread yao,humu ni updates za Yanga na Mbeya city tu.
Duuh siku hizi mpo kwenye Jukwaa hili tuu!HT
Yanga 1-0,mpira umepoa hadi unaboa,dah.
Pengo la Msuva limetugharimu sana Yanga,baada ya Msuva kutoka sijamsikia Tambwe wala Chirwa.
Ashukuriwe Mungu haikuwa hivyo kwenye mechi ya Kagera Sugar,habari ingekuwa nyingine.
Ikiwa hivi kipindi cha pili yanga mnaweza kufungwa.
Leo umuhimu wa Msuva umeonekana [emoji24]Leo tukishinda ni kudra za Alla'h timu imepoteana kwenye king.
Ulitaka kutuona jukwaa gani mkuu? Naona umekuja na 'nguo' nyingine hahahaaaaa.Duuh siku hizi mpo kwenye Jukwaa hili tuu!
Kwa mpira gani waliocheza hao Mbeya City?Ikiwa hivi kipindi cha pili yanga mnaweza kufungwa.
Amekuja kupima joto humu. Najua yuko Mikia fc. Nimemkaribisha Jangwani kusherehekea ubingwa.Mtaniiiiiiiiii,mechi zenu huonekani.
Leo sijui umeibukia wapi hahahaaaaa
Mtani sikuwa active kwa muda kidogo. Leo ndio nimeamua kuwaona mabingwa tarajiwa.[emoji12] [emoji12]Mtaniiiiiiiiii,mechi zenu huonekani.
Leo sijui umeibukia wapi hahahaaaaa