Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Lengo la maonesho ya hawa makomandoo ni nini??
Wale "maadui" zetu waone,hatutaki mchezo mchezo!
Na ikumbukwe hizo kilo 65 zilizopo migongoni mwao ni zaidi ya mfuko mmoja wa Cement. Hawa jamaa tuwaacheni tu na tuwape respect yao stahili.
Nimeishi nao wakati nabukua makongo,kila nikiwaona hao namkumbuka afande Miraji na Chacha!
 
CzNyCl6WgAA_NS7.jpg
 
Vijana wa Chadema hawabanduki kwenye Uzi na TV wanafurahia
Mpaka unatia huruma jinsi gani ambavyo huna uzoefu na maadhimisho ya sherehe za uhuru katika nchi yako, kale kauzi kako kakowapi ka Rais atahutubia.
 
Hivi Kuna haja ya kila mazimisho hawa makomando wetu kurudia hizi style Za kupigana fimbo Na kuvunjiana Matofali?

Hivi hakuna style zingine Za kuonyesha mpaka watumie hizi?

Sent from Microsoft Lumia 950xl Lte
Mbaya zaidi naona hata ubora wa vitendo vyao unapungua kadiri miaka inavyoyoyoma
 
Back
Top Bottom