Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

CzN5hneW8AAuMFS.jpg
 
Nawapongeza ila naona kama maandalizi yalikuwa kwa mda mfupi
 
Gwaride limekamilika. Linajiweka tayari kuondoka uwanjani kupisha ratiba nyingine kuendelea. Yatafuata maonyesho ya makomandoo na kikosi cha wanamaji wakiwa na kilo 65 migongoni mwao.

Na ikumbukwe hizo kilo 65 zilizopo migongoni mwao ni zaidi ya mfuko mmoja wa Cement. Hawa jamaa tuwaacheni tu na tuwape respect yao stahili.
 
Back
Top Bottom