Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

CzOEMzPWQAEDvJp.jpg
Mbona wanaonekana kama wana njaa.!
 
Naomba kukuuliza hivi Mkuu wa Mkoa Paul Makonda siku hizi na yeye amekuwa Mtu wa Itifaki? Kwani namwona anafanya Kazi za Watu wa Protocol na kimsingi yeye anatakiwa tu kumpokea mgeni, kupeana nae mkono kisha kuwaachia Watu wa ( Kazi Maalum / Itifaki ) kuendelea na majukumu yao waliyosomea na kubobea nayo lakini cha kusikitisha yeye huyo huyo RC Makonda anaenda kumpokea Mgeni kisha yeye huyo huyo tena anawasindikiza karibu na kupanda ngazi tena huku akitoa maelekezo. Huyu Mkuu wenu wa Mkoa aache kuwa na sifa na kimbelembele na nina uhakika hata Watu wa Itifaki alionao pale anawakwaza. Kwanini hajifunzi na habadiliki?
Ushamba mzigo
 
Hivi Kuna haja ya kila mazimisho hawa makomando wetu kurudia hizi style Za kupigana fimbo Na kuvunjiana Matofali?

Hivi hakuna style zingine Za kuonyesha mpaka watumie hizi?

Sent from Microsoft Lumia 950xl Lte
 
Hawa makomandoo Ni hatari Sana kwenye Medani lol! Ninachokishuhudia hapa Uhuru noma sana.
 
hahahaha aiseee makomando nimewakubali duuu
 
Back
Top Bottom