Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Dah...hizi tumba hizi.... haziwezi kumshusha jukwaani kweli? [emoji13] [emoji13]
 
Afande Miraji Muhombolage hakuna mfano ake bhana. Yuke jamaa enzi zile pale Makongo alikuwa mwanaume wa shoka.

Mungu amrehemu huko aliko. Ni miaka 10 sasa baada ya kifo chake sidhani kama pengo lake limezibwa.
Alipokufa Miraji na Kipingu Kuondoka Ndio Ikawa the Beginning of the End of Makongo!
 
Napenda kujua marais walioweza kufika achilia mbali wa Zanzibar
 
he! leo hakuna kubana matumizi..?
Kaka, ndiyo ushangae! Na cha kuhuzunisha zaidi watoa sifa wa mtukufu rais hutowasikia wakizungumzia hili. The guy is so inconsistent, a typical trait of a populist.

Yaani ni usanii kwenda mbele. Actually, siku hizi wala sishangai tena! Toka aache sherehe za mwenge, nikamwona he isn't serious; and doesn't know that he isn't serious.
 
Sherehe imepoa sana,wanajeshi & wananchi hawana ile hali niliyoizoea...nimepata nafasi ya kuangalia gwaride na maonesho ya North Korea special force walivyo tight, wetu wanasubiri sana.sidhani kama special force kwa Dunia ya kisasa hii inahitajika miili mikubwa sana kivile mpaka mavitambi yanawaelemea.Body kama ya Mropo fine sana
 
 
Ila hii video inatafuna bundle kinoma,.. Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…