Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Mwakani sherehe zitafanyika Idodomya, makao makuu ya chama na serikali.

Nadhani mwaka kesho kutwa itakuwa Arusha.
 
Ayaa, salamu za kidini tena. Bwana asifiwe, tumsifu Yesu Kristu???????. Nani kamfundisha rais haya mambo? Marais waliopita wslisalimia tu, Asalam Aleikhum. Hiki ni kiswahili wala suo salama ya kidini! Kama wanataka kutoa salamu za kidini basi amalizie hiyo salamu ili iwe ya kiislam sawia! Yaani iwe Asalaam Aleikhum wa rahma tulah wataala wa Barakatul.
Why salamu za kidini? Tumsifu Yesu Kristu? Bwana asifiwe? Why? Mbona Mwalimu hakuwahi kufanya haya mambo?
Hili halina maelezo ya ziada zaidi kuashiria ufa mkubwa wa kidini uliopo sasa! Please stop this! Inaamsha hisia za kidini bila sababu yoyote. Tafadhali viongozi wakuu wa chini yetu epukeni kuweka vionjo vya kidini kwenye hotuba zenu!
 
JPM: maji yapo umeme bara bara
-nchi imesaidia mataifa yaafrica kupata Uhuru.
 
Huwa wanajihisi wanadharaulika ila hawajiamini so hyo ndo defense mechanism yao. Walah mama aache ugoi goi amtafte mama lodilofa ampe darasa aisee
Mama kistuli sio mtu wa sport sport
 
Uwanjani watu kama hawana furaha hiv....had watangazaji wanahasisha watu washangulie
Watu wana hali ngumu ya maisha hata mishahara yao haijaongezwa chochote mwaka huu...hiyo furaha itatoka wapi?
 
Mkuu anasema Mwinyi kamwambia awe na wake wawili ili aishi miaka mirefu. Huku ni kumfulastrate mama
 
siri ya kuishi muda mrefu ni kuwa na wake wawili siri kutoka kwa mzee mwinyi 😀😀
 
Leo hamna ubwabwaa via State Banquet... Hivi hii ni niniii....
I agree bana matumizi buuuht mwee japo watu walage kidogo mweeh
Dah...sijui itakuwaje leo...maana wengine hatukujiandaa kabisa[emoji13] [emoji13]
 
Stori za kubana matumizi zimeishia wapi!?
Kwani story ya uzuiaji wa Sukari Iliishia wapi?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Ilikuwaje?
 
Siri ni kuwa na wake wawili.....Dah mzee wa upako ameleta problem!!!!!!!!.JPM amependa hilo wazo.
 
Rais anasema bajeti ya mwaka huu ni Bil 29 mi kweli?
 
Mkuu hebu suala la mke na watoto linakuja vp hapa au unataka ww uwe ktk hizo position ulizotaja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…