Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Mwakani sherehe zitafanyika Idodomya, makao makuu ya chama na serikali.
Nadhani mwaka kesho kutwa itakuwa Arusha.
Nadhani mwaka kesho kutwa itakuwa Arusha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama kistuli sio mtu wa sport sportHuwa wanajihisi wanadharaulika ila hawajiamini so hyo ndo defense mechanism yao. Walah mama aache ugoi goi amtafte mama lodilofa ampe darasa aisee
tanganyika na zimbabweNchi gn
Watu wana hali ngumu ya maisha hata mishahara yao haijaongezwa chochote mwaka huu...hiyo furaha itatoka wapi?Uwanjani watu kama hawana furaha hiv....had watangazaji wanahasisha watu washangulie
Kuna mda vikimkolea anaanza kwenda off scriptThe moment of shock,lazima azue taharuki,ila leo anasoma madesa
Dah...sijui itakuwaje leo...maana wengine hatukujiandaa kabisa[emoji13] [emoji13]Leo hamna ubwabwaa via State Banquet... Hivi hii ni niniii....
I agree bana matumizi buuuht mwee japo watu walage kidogo mweeh
Kwani story ya uzuiaji wa Sukari Iliishia wapi?Stori za kubana matumizi zimeishia wapi!?
Yupo. Ni humphrey Phivi Lipumba hana mtoto wa kumshauri km marafiki zake wameshindwa
Umenikumbusha katibu tarafa mmoja pale Iringa aliitwa MBIGILI alikuwa na kiherehere sana.Mwaka 1987 alikuja Rais mzee Mwinyi pale kiwanda cha Tancut basi mzee Mbigili akataka kuwahi kumfungulia mlango wa gari Rais,kwa kasi ya umeme hatukuona kilichotokea ila tulimshuhudia Mbigili amelazwa chali pembeni ya barabara akiwa hajitambui/amezimia
Mhh huyu not the typaInawezekana akiwa home ni mpole tu