Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Rais Magufuli: Tutajihidi kutatua kero zenu kwa uwezo wetu wote bila kubagua mtu kwa dini yake, kabila lake au chama chake.
I hope anmaanisha hivyo ....................!!

Malalamiko ya yule Sheikh yatapungua ................!!
 
Hapo ndio utaona nafasi ya Lyatonga Mrema
 
Ki protokali na kiusalama SI VYEMA. Rais, Makamu wake na Waziri mkuu kupanda gari moja. Kwa mtazamo wangu binafsi!
 
nini maana ya haya maneno

ITIFAKI na PROTOKALI....

yani huwa yananifikirisha sana,, ! ni haihitaji shule ya darasani, naomba maana yake hapa..wakuu.
Utasaidiwaje bure wakati wenzio shuleni tulilipia ada
 
Hivi najiuliza Rais, Makumu wake na PM hawawezi kupanda gari moja kwenda uwanjani? Tuna bana matumizi pamoja na kupunguza foleni.
Ni kwa usalama tu. Hata viongozi wa mihimili mingine ya Dola kila mmoja wao huwa na gari lake na ulinzi. Leo kwa mara ya kwanza Mawaziri na Manaibu wao pamoja na Makatibu wakuu wamepanda mabus madogo maalumu kwa pamoja
 
mbona inatembeza mabakuli ya kuomba msaada..?
Hizi mambo zinahitaji ujuaji zaidi.Kwani hujawahi kuona rambirambi ikichangishwa kwenye misiba ya matajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…