Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Heri mimi sikusema..!!![emoji40]Katika watu ambao huwa napata amani nikiwa waona ni firstlady wetu kipenzi mama Janeth . Ila Leo sijamuona uwanjani kitu ambacho kimenipa huzuni ya moyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri mimi sikusema..!!![emoji40]Katika watu ambao huwa napata amani nikiwa waona ni firstlady wetu kipenzi mama Janeth . Ila Leo sijamuona uwanjani kitu ambacho kimenipa huzuni ya moyo.
JF pana makubwa!Mi nakwambia huyu first lady ni moja ya wanawake jasiri na mvumilivu, yaan Magufuli yuko madarakani mwaka mmoja tu watu washa mchoka, ila yeye kaish naye miaka 30 nyumba moja, mumuache tuu mama kwa kweli.
bado anauguza majeraha ya kipondoKatika watu ambao huwa napata amani nikiwa waona ni firstlady wetu kipenzi mama Janeth . Ila Leo sijamuona uwanjani kitu ambacho kimenipa huzuni ya moyo.
Acheni uongo wa huyo kimambi, tangu lini mtu akapigwa hadi kuzirai halafu hana majeraha!? Uongo mwingine bwana!bado anauguza majeraha ya kipondo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yupo kwenye ile wodi yenye jina la kihindi nimeisahau kidogo
Mi nakwambia huyu first lady ni moja ya wanawake jasiri na mvumilivu, yaan Magufuli yuko madarakani mwaka mmoja tu watu washa mchoka, ila yeye kaish naye miaka 30 nyumba moja, mumuache tuu mama kwa kweli.
Bichwa maji mkubwa weweAcheni uongo wa huyo kimambi, tangu lini mtu akapigwa hadi kuzirai halafu hana majeraha!? Uongo mwingine bwana!
Unatakumaanisha magufuli kasomea kumpiga mkewe mpk ajue hizo weak areas? endelea kupuyangaBichwa maji mkubwa wewe
Hivi hujui weak areas ambapo mtu akikupiga hata kukuua anaweza kukuua
kiboko mama mr clear mzee alipoanza ugomvi tu akachukua sturi na kumtwanga kwenye miguu baadae ikasemwa kuwa anasumbuliwa na miguu kwa ajili ya kula nyama za mbuziAcheni uongo wa huyo kimambi, tangu lini mtu akapigwa hadi kuzirai halafu hana majeraha!? Uongo mwingine bwana!
We hujui alikua mwanajeshi?Unatakumaanisha magufuli kasomea kumpiga mkewe mpk ajue hizo weak areas? endelea kupuyanga
Yupo kwenye ile wodi yenye jina la kihindi nimeisahau kidogo
Hii mambo iliondolewa humu JF. Naona unairejesha, sijui kama itachukua muda kabla hawajainyofoa. Tunapenda sana kuisoma
Acheni uongo wa huyo kimambi, tangu lini mtu akapigwa hadi kuzirai halafu hana majeraha!? Uongo mwingine bwana!