Anadhani anavyoingilia kazi za Ma meya na wenyeviti wa mitaa ndio kila mahali. Pale anaweza kuharibu jambo waka mzabua kofi bure! Kwenye suala la usalama hawatambui mkuu wa mkoa ni nani.Ni kosa kubwa sana kwani anaingilia Kazi / Majukumu ya Watu. Kwanini huyu Mtu hapewi mafunzo ya kumbadili kutoka kuwa Mtu wa kawaida kama alivyokuwa, Mkuu wa Wilaya na Ukuu wa Mkoa alionao sasa hasa wa Kiitifaki? Anaboa bhana!
Namshangaa sana, namuona nyuma ya rais wkt mizinga inapigwa, waziri wa nchi anamshangaa, yule askali nyuma ya makonda ana smile tu. Something wrong with protocality
Makonda anajihisi yey ana nafasi kubwa sanaKuna Watu watakuja hapa na kusema kuwa nina chuki nae lakini hapo hapo wamesahau kuwa Kiueledi kabisa shughuli zote za Kiitifaki zinaandaliwa na kupangwa kiutaalam mno ( waliopitia huko watanielewa vizuri hapa ) na kitendo cha RC Makonda kuwa na kiherehere vile anaharibu hesabu zao na si kitu kizuri hasa kiutendaji. Nitoe rai huyu Mtu apewe induction course kidogo tu ya masuala ya Protocols kwani nina uhakika anawaboa sana Watu wenye uzoefu nayo halafu ajifunze kuwa siyo kila tukio basi lazima na yeye kama RC awepo bali atulie Wanamume wafanye Kazi zao. Nimesikitika mno tu!
Anadhani anavyoingilia kazi za Ma meya na wenyeviti wa mitaa ndio kila mahali. Pale anaweza kuharibu jambo waka mzabua kofi bure! Kwenye suala la usalama hawatambui mkuu wa mkoa ni nani.
Mtangazaji anaomba watu washangilie!!!Dah nimejifunza kitu wakati Magufuli akiingia! Hizi sherehe zilivyododa sijawahi kushuhudia
Umenikumbusha katibu tarafa mmoja pale Iringa aliitwa MBIGILI alikuwa na kiherehere sana.Mwaka 1987 alikuja Rais mzee Mwinyi pale kiwanda cha Tancut basi mzee Mbigili akataka kuwahi kumfungulia mlango wa gari Rais,kwa kasi ya umeme hatukuona kilichotokea ila tulimshuhudia Mbigili amelazwa chali pembeni ya barabara akiwa hajitambui/amezimiaUpo sahihi Mkuu na kwa dalili nilizoanza kuziona na kwa jinsi alivyokuwa anazidi kuwaboa Wazee wa Kazi maalum na Itifaki kwa kimbelembele na kujipendekeza kwake angepigwa makofi muda si mrefu. Na bahati nzuri sana hawa Jamaa wa Kazi Maalum na Itifaki wamepewa meno yote kumpa discipline Mtu yoyote bila kujali Cheo / Mamlaka yake aliyonayo nchini kama anataka kuharibu ratiba na taratibu zao za Kiutendaji na RC wenu ajue kuwa kila kitu hapo kimepangwa hivyo akiwaingilia anaweza kuchelewesha na kuharibu ratiba za siku nzima jambo ambalo kutokana na ugeni mkubwa wa Kimataifa uliopo hapo tutaonekana ni Watu wa ajabu. Mfundisheni mambo ya Itifaki na aache uswahili katika Kazi za Watu.
Makonda anajihisi yey ana nafasi kubwa sana
Nashukuru kama na wewe umeliona!Naomba kukuuliza hivi Mkuu wa Mkoa Paul Makonda siku hizi na yeye amekuwa Mtu wa Itifaki? Kwani namwona anafanya Kazi za Watu wa Protocol na kimsingi yeye anatakiwa tu kumpokea mgeni, kupeana nae mkono kisha kuwaachia Watu wa ( Kazi Maalum / Itifaki ) kuendelea na majukumu yao waliyosomea na kubobea nayo lakini cha kusikitisha yeye huyo huyo RC Makonda anaenda kumpokea Mgeni kisha yeye huyo huyo tena anawasindikiza karibu na kupanda ngazi tena huku akitoa maelekezo. Huyu Mkuu wenu wa Mkoa aache kuwa na sifa na kimbelembele na nina uhakika hata Watu wa Itifaki alionao pale anawakwaza. Kwanini hajifunzi na habadiliki?
lazima itifaki izingatiwe!Hivi najiuliza Rais, Makumu wake na PM hawawezi kupanda gari moja kwenda uwanjani? Tuna bana matumizi pamoja na kupunguza foleni.
Atajifunzaje na kubadilika ilihali kichwa panzi?
Halafu watangazaji wa ITV wapunguze kuongea!...wawe wanatupia maneno ya hapa na pale, si kuwa kama wao ndio wenye shughuri. Mf. wakati wa mizinga na hata ukaguzi wa vikosi wanabwabwaja tu hata muziki wa brass band hausikiki!Mtangazaji anaomba watu washangilie!!!
Mbona sijaona marais wa nchi jirani???
Labda wako njiani wanakuja!Mbona sijaona marais wa nchi jirani???