josminga
Member
- Jul 28, 2015
- 20
- 27
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anadhani anavyoingilia kazi za Ma meya na wenyeviti wa mitaa ndio kila mahali. Pale anaweza kuharibu jambo waka mzabua kofi bure! Kwenye suala la usalama hawatambui mkuu wa mkoa ni nani.