Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Haikubaliki kwa sababu za kiusalama. Si Tanzania peke yake. Ni dunia nzima. Wakitumia usafiri mmoja likatokea la kutokea inakuwaje? Unapoteza Rais na Makamu wake kwa wakati mmoja!
Mkuu hujanishawishi sababu kama ni usalama mbona uwanjani wanakaa pamoja?
 
The moment of shock,lazima azue taharuki,ila leo anasoma madesa
 
Level ya hawa makomandoo na walichoonyesha ni aibu kwa taifa na kuwaita makomandoo ni kushusha hadhi ya hilo jina na ndio wale wakimarekani wanaitwa special force/ marine. Hawa ukiwapeleka kule marekani kwenye mafunzo ya miezi sita hata wiki moja hawatamaliza watakuwa wamerudi wachache wakiwa hai
Unaandika kama mtaalamu flani, ila unajiaibisha, hajui chochote hata viwango vya komandoo duniani wote hapa hatujui, ila kwa ufahamu wangu najua pamoja na mafunzo yao hapa nchini pia wanahudhuria kozi mbalimbali kwenye nchi nyingine duniani mfano Cuba, China, South Africa na hata mara chache huko America ya USA na Canada,,,, nikupe pole kwa kuhemka kuandika comments kwa taasisi usiyokuwa na exposure nayo zaidi ya kuangalia movies tu za kimarekani,,, aibu kubwa sana kwako sio kila jambo la kuongelea kwa dharau,, ungekaa kimya ingekupunguzia kuonekana ni mtu usiekuwa na exposure ila unapenda sifa za aibu.......
 
Rais Magufuli: Leo ni siku yetu muhimu. Tunapaswa kumshukuru Mungu. Tuwakumbuke wazee wetu wakiongozwa na Mwalimu Nyerere. Walijitoa kwa ajili yetu.
 
Back
Top Bottom