Griseofulvin
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,012
- 1,995
Mda wa hotuba zenye ukakasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hujanishawishi sababu kama ni usalama mbona uwanjani wanakaa pamoja?Haikubaliki kwa sababu za kiusalama. Si Tanzania peke yake. Ni dunia nzima. Wakitumia usafiri mmoja likatokea la kutokea inakuwaje? Unapoteza Rais na Makamu wake kwa wakati mmoja!
Yupo mkewe.Hv JK yupo uwanjan..??
Kawakilishwa na LipumbaHv JK yupo uwanjan..??
Inawezekana akiwa home ni mpole tuSawa, lakini Mkulu ni tingatinga hatari, sipati picha kuishi nae...sijui home nako kuna kutumbuliwa lol
Roma is a living legend.Ila lipumba kweli ni le profesa 0 kabisa.
Unaisaliti ukawa kwenye sherehe za Uhuru,Uhuru uko wapi!!!! Roma
Sikulaumu uwezo wako wa akili ndiyo umeishia hapo, fanya yako.Wewe kuna mbegu unazopanda
Unaandika kama mtaalamu flani, ila unajiaibisha, hajui chochote hata viwango vya komandoo duniani wote hapa hatujui, ila kwa ufahamu wangu najua pamoja na mafunzo yao hapa nchini pia wanahudhuria kozi mbalimbali kwenye nchi nyingine duniani mfano Cuba, China, South Africa na hata mara chache huko America ya USA na Canada,,,, nikupe pole kwa kuhemka kuandika comments kwa taasisi usiyokuwa na exposure nayo zaidi ya kuangalia movies tu za kimarekani,,, aibu kubwa sana kwako sio kila jambo la kuongelea kwa dharau,, ungekaa kimya ingekupunguzia kuonekana ni mtu usiekuwa na exposure ila unapenda sifa za aibu.......Level ya hawa makomandoo na walichoonyesha ni aibu kwa taifa na kuwaita makomandoo ni kushusha hadhi ya hilo jina na ndio wale wakimarekani wanaitwa special force/ marine. Hawa ukiwapeleka kule marekani kwenye mafunzo ya miezi sita hata wiki moja hawatamaliza watakuwa wamerudi wachache wakiwa hai
Nchi gnTumsikilize mkuu wa nchi tafadhari