sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,491
mkuu unamaanisha 2000? Maana huo mwaka wa 200 hata tanganyika haikwepoImeshawahi kufanyika miaka ya 200 mwanzoni chini ya BWM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu unamaanisha 2000? Maana huo mwaka wa 200 hata tanganyika haikwepoImeshawahi kufanyika miaka ya 200 mwanzoni chini ya BWM
nadhani hazikufanaMbona zimeshawahi kufanyika??? Wakati wa Mkapa miaka miwili mfululizo
Typo mkuu. Sorrymkuu unamaanisha 2000? Maana huo mwaka wa 200 hata tanganyika haikwepo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] full tabasamu full kicheko. Mhh mkuu siyo kila dawa ya maji ni ya kunywa nyingine ni ya kupakaacha tuone kama atatangaza na ajira mupya!
Nimemuona Mama Jk,full tabasamu,full kicheko!
Hapo humtendei haki, labda hukuwa mfuatiliaji wa sherehe zilizopita kwa wakuu wa mikoa walio mtangulia, uzoefu wa ufuatiliaji wangu ni kuwa sherehe zote za kitaifa zinapo fanyika ktk mkoa, ambazo zitahudhuriwa na wakuu wa nchi hapo mkuu wa mkoa huwa ndio mwenyeji wa sherehe hizo, hivyo basi ndio mkuu wa itifaki na huwa anawajibika kupokea wageni, niliyaona hayo tokea enzi za uongozi wa mzee makamba na wengineo. NawasilishaNaomba kukuuliza hivi Mkuu wa Mkoa Paul Makonda siku hizi na yeye amekuwa Mtu wa Itifaki? Kwani namwona anafanya Kazi za Watu wa Protocol na kimsingi yeye anatakiwa tu kumpokea mgeni, kupeana nae mkono kisha kuwaachia Watu wa ( Kazi Maalum / Itifaki ) kuendelea na majukumu yao waliyosomea na kubobea nayo lakini cha kusikitisha yeye huyo huyo RC Makonda anaenda kumpokea Mgeni kisha yeye huyo huyo tena anawasindikiza karibu na kupanda ngazi tena huku akitoa maelekezo. Huyu Mkuu wenu wa Mkoa aache kuwa na sifa na kimbelembele na nina uhakika hata Watu wa Itifaki alionao pale anawakwaza. Kwanini hajifunzi na habadiliki?
Kareti ya shingoIlikuwaje?