CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Haupo?mbona mimi nakuona upo Mkuu?Mechi ikiisha sina budi niku sachi mfukoni nione kama hauna ndumba. maana utabiri wako ume timia. Ila mimi sipo. CC. MAKOYE MATALE.
Tatu bila..
JF huu ndo muda muafaka wa kufanya marekesho,fungeni jukwaa
Simba wanashambulia sasa.....Domayo anatibua
Simba wanawaiga manchester united kwa kubali kufungwa kirahisi namna hii
hawajiamini....Hivi watu wa Yanga mnamatatizo gani, pamoja na kuongoza bado mnazimia.
CC: mandieta, Balantanda, Makoye Matale.
Dah..haiwezekani.. lazima Simba watakua wameuza game..this is humiliation! Ngoja tuangalie kipindi cha pili..