Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Mwenyekiti wa Simba ndiyo nani vile?.Nadhani tukimjua huyu na sifa zake tunaweza pata jibu la Udhaifu wa Simba ya mwaka huu.
 
Chanongo anajaribu......Goal kick

Simba wanafanya sub...

Said Hamis anambadili Haruna Chanongo....Homoud anatoka anaingia William...
 
Simba wanawaiga manchester united kwa kubali kufungwa kirahisi namna hii
 
Mtu mzima Chuji katulia sana leo...


Dakika ya 50


Simba 0-3 Yanga
 
1385379_10202132438983283_405346933_n.jpg
 
Simba naona wametulia sasa......

Wanashambulia.....Goal kick
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom