Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Eti simba madume,mngepigwa tatu dk 45 za mwanzo?kwa hiyo mmefurahia sare,uanaume wenu upo wapi?
Back on fire from Behind 3 goals...tena kipindi cha pili,washachoka lakini still they manage? Mi nadhani wapewe credit kama wanaume,,,Over
 
Masuke.............Unashangilia sare??????????
 
Mpira dakika 90. Ngasa ngasa ndo nani? Kajitu kafup utamfananisha na mwombeki
 
Aibu kwa Yanga! mnyama amechomoa goli zote tatu.
Hii ni aibu ya pili baada ya zile goli tatu
 
Mnyama ni mnyama tu. kandambili ni za kuendea chooni.

Simba raha sana
 
Wewe nawe kama una timu yako kaiweke kitimoto, timu inapangua goli tatu unaona kazi rahisi ni kweli ilikuwa ni uzembe kuruhusu yale matatu ya mwanzo lakini mabeki hao hao waliofanya uzembe ndo wamefunga, kama ni uzembe basi Yanga ni wazembe zaidi.
 
Masuke Masuke Masuke mtani wangu.......

Unashangilia sare?........Hongereni sana kwa kuishinda Yanga magoli matatu mtani......

Simba hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mnyama ni mnyama tu. kandambili ni za kuendea chooni.

Simba raha sana

Hata wewe unashangilia droo na kuenguliwa kileleni!? Basi haya majanga no wonder timu ya Watanzania kuongozwa na Msomali.
 
Yanga walipanga kutufunga goli 5 ili wafute ile deni..
Lakini walisahau ki2 kimoja.. Hawana OKWI.
 
Mnyama ni mnyama tu. kandambili ni za kuendea chooni.

Simba raha sana

Ha ha ha Asprin.. Yanga ni kama chura.. wanashangilia mvua wakati hawana mtungi wa kuhifadhia maji lol.. Timu ya magazeti..
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…