DAWA YA SIKIO
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 978
- 183
Wamejiuliza ndo maana wamezirejesha kiulaini kama kumtawaza mtoto aliejinyea [yanga].Nadhani wewe umeanza kushanbikia juzi.....Una habari Yanga wamewahi kuchomoa mechi na Simba Sheikh Amri Abeid Arusha matokeo yakawa 4-4......
Simba bana, badala ya kujiuliza ni kwa nini mliruhusu ba0 3-0 1st Half mnaanza kuiponda Yanga kwa kuruhusu magoli matatu......Ulitaka Yanga ishinde???/
I see.....Mkuu hii sare ingekuwa ya funga nikufunge ningeona sawa tu lakini nakwambia mashabiki wote wa timu zote mbili baada ya Kiiza kufunga goli la tatu tulijua Simba ndo basi tena lakini kurudisha magoli yote matatu lazima nifurahi aise.
Mkuu....mimi ni Yanga
lakini imefika mahali nimenyoosha mikono juu na kusema msimu huu Simba
ni bora kuliko Yanga na ubingwa utakwenda Msimbazi, thanks to the genius
of King Kibadeni.
Timu yoyote yenye uwezo wa ku-cancel a 0-3 deficit hiyo ni championship
material. Simba msimu huu the championship is yours to lose!
Kwa Yanga, msimu huu timu hakuna but it is a bunch of expensive players
with full of ego ambao hawaichezei timu yetu kwa kujituma - labda Ngasa
tu.
Mkuu....mimi ni Yanga lakini imefika mahali nimenyoosha mikono juu na kusema msimu huu Simba ni bora kuliko Yanga na ubingwa utakwenda Msimbazi, thanks to the genius of King Kibadeni.
Timu yoyote yenye uwezo wa ku-cancel a 0-3 deficit hiyo ni championship material. Simba msimu huu the championship is yours to lose!
Kwa Yanga, msimu huu timu hakuna but it is a bunch of expensive players with full of ego ambao hawaichezei timu yetu kwa kujituma - labda Ngasa tu.
Nilisema kamati ya ushindi kwa upande wenu ili chemka kwakutompanga mshika chenji (Tegete)mkuu hii mechi hata imekuaje kuaje yani
I see.......Wamejiuliza ndo maana wamezirejesha kiulaini kama kumtawaza mtoto aliejinyea [yanga].
Yanga wajipange sana kwa Simba!
I see.......
Simba kweli raha.....Hongereni sana kwa ushindi huu......Coastal na Azam nao lazima wapate kichapo kama hiki cha leo mlichoipa Yanga kwenye mechi hizi mbili zinazofuata
Kaangalie post ya matokeo yote utajua nani anatakiwa kujipanga.
Nilisema kamati ya ushindi kwa upande wenu ili chemka kwakutompanga mshika chenji (Tegete)
cha kushangaza mabao yote 6 yameingia upande mmoja wa uwanja
mkuu hii mechi hata imekuaje kuaje yani
Unaelewa maana ya kupoteza mechi?....Ama matokeo ya 3-3 kwa Simba dhidi ya Yanga siku hizi yana tafsiri mpya?.....Balantanda, Mandieta, BabaV, Wabhejasana, naomba mkubali kuwa Yanga mmepoteza hii mechi kwa Simba.
Binafsi siyasikitikii matokeo ya leo ambayo tulikuwa ugenini.....Ni kama vile Man Utd atoe sare Etihad kwa Man City.....Ni matokeo ya kawaida kabisa kwa mtu anayelijua soka na ambaye haendekezi ushabiki wa kizamani/ushabiki maandazi wa akina mzee Ibrahim Akilimali ambao Yanga kumfunga Simba kwao ni kama Yanga kuchukua ubingwa.....Mkuu pole tumekunyang'anya tonge mdomoni.
I see.....
Hongereni sana kwa ushindi mkuu......
Kiukweli mlipaswa kusikitika kwa kukosa ushindi na kusindwa kurudi kileleni na kubaki nafasi ya 3 hasa ukizingatia mna mechi 2 ngumu za mfululizo, dhidi ya Coastal Union(inayofuata) na dhidi ya Azam(baada ya kucheza na Coastal.....
Yanga wana mechi rahisi ambazo zitawaezesha kuwashusha Simba kwenye msimamo wa Ligi......
Na hii ni mara ya kwanza kuona Simba wanashangilia sare dhidi ya Yanga.....Kipindi kile Yanga wamechomoa sare ya 4-4 Jangwani bado hakukukalika......Walijiuliza ni kwa nini wameruhusu magoli yale manne....Lakini kwa Simba ni burdaaaaaani.....
Hongereni tena wakuu kwa ushindi huu mnono....
walisahau kuhama na mzizi waoWalisahau kuhamisha vile vimiziz vyao. so simba wakaponea hapo hapo.
KUANZIA KESHO SIGNATURE YANGU ITAKUWA... simba mnyama mtembea pekee porini. Ukimwona mjini kaja tu kufanya mishemishe