Unaoa kwa sababu ya tension??umevurugwa wewe!!
Hahaha hivi leo si ni jumatatu? Ahadi ni deni.
We mama wewe. We njoo tu nikuoe. baaas. Haka ka Heaven on earth kamenipa tabu sana jana. Yani shenzy zake chapchap sana. Hii hangover sijui kama ntaenda kwa mkoloni.
Jana nimetandika kinana lager za kutosha....
na dawa ya deni ni kulipa.....
Kavurugwa siyo kitoto, anataka kuniletea balaa la kuita babu badala ya baby lol.
Katika siku ambazo nilikuwa na tension ya mpira ni jana. Maana nilianza kupata sms za kubezwa kuanzia saa 12 ahsubuh, yaami ilikuwa taabu sana.
Muda wa mechi sikuwa na raha yalemaneno niliyobezwa yalikuwa yanaring in my brain na mapicha ya kumdhalilisha mnyama yaani hata mlo wa mchana sikula.
Niliamua kutouangalia neikaenda zangu vikobaaa....niko njiani nasikia goooo...ikabidi nisogee tumefuungwa, niko kwenye kikao nasika tena gooo tumefungwa, nikachungulia JF na kisimu changu laaaa nikakuta wakina Heaven on earth, na webzake ndo wanashindilia mwiba moyoni nika log out fastaa. Nimeamini nina mapenzi makubwa na SIMBA
Naanza safari ya kurudi home shosti ananipigia simu eti cha tatu hicho kaoge....yaani nusu nimtukane. Mwingine tena haloow leo lazima uumwe..nikamwambia mmpira ni 90min, akasema mmeshapigwa v3 unaongea dkk 90.
Njiani tena nikakutana na mwenye kiredio chake ile napishana nae tuu nasikia gooo, yaani nilihisi mapigo ya moyo yana potea..nasikilizia la nne au? Aaa kumbe MNYAMA ameanza kuchomoa, baada ya muda tena nasikia gooo chapili. Nakaribia home nasikia tena gooo afu watoto wananilaki mama mama simba wamesawazisha matatu mama timu yako. Kajasho kembaba kalinitoka kafuraha lakini na kushushia punzi maana.
Nimetumia almost masaa mawili kufuatilia thread, kwa nionavyo yaani kweli kipindi cha kwanza SIMBA tulikuwa na simanzi sana. Nina furaha ya ajabu si kwa sbb ya droo but kwa simba kucheza mchezo wa maana na kuweza kurudisha mabao ma 3 kwa staili ya aina yake.
Kwa upande mwingine nijambo lisilofichika kuwa pamoja na droo YANGA wameaibika.....POLENI
Salamu kwa wazalendo wa ukweli wa SSC Ndeticha, @Exellent Katavi, Asprin, Masuke, Filipo, KakaKiiza, Mzee wa Rula, stevoh na all SIMBA SPORTS CLUB Fans...pamoja sana.
Yanga SIMBA mtaipenda tu.... Balantanda nimekukubali sana..thumb up for you mkuu
Hivi sasa ni saa 01:54 tukutane baadayeee....kwa heri kwa sasa.
Leo I hope uko salama...
duuuu yanga bana...Apakatweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee