Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Huyu Mwombeki hamna kitu........Miguvu tu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli linarudi na tunaongeza chezeya Mnyama wewe
Luhendeeeeeeeeeeeeee
Goal kick.....
....mpaka sasa hivi uwezekano wa Simba kusawazisha ni mkubwa.
Huyu Mwombeki hamna kitu........Miguvu tu.....
Kula like 100 mkuu maana unaandika kama unatangaza BBCTwite anarusha kama kona........
Ni kona kuelekea lango la Simba...
Dhaira anatema sana mpira...
Niyonzima anapiga kona...Dhaira anadaka
team yanga..goli moja..ingawa nimeikutia kati...
Si vibaya kujifariji..
team yanga..goli moja..ingawa nimeikutia kati...