Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Dakika ya 45
Simba 0-2 Yanga
Yanga wanakoswakoswa......Barthez anadaka
Simba 0-2 Yanga
Yanga wanakoswakoswa......Barthez anadaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndio safari imewadia mkuu.
Tulia tutafute cha tatu mama,au viwili vimetosha?Hakuna kuremba....jamaa pale benchi wamenuna hao
ilibaki kidogo tenaaa
Katavi habari yako.....Hii mijamaa imedhamiria kurudisha zile tano..
Fulikaga ong'wise umogwe!! Mkiachiwa huwa mnachonga mno! Tukitoka half time tunawapiga mengine matatu!
Halafu tutake radhi wanayanga
Endelea kujifariji
Yanga 2 - Simba 0
usiumie bado kuna zaidi ya dk45 zimebaki, simba watajirekebisha
Huyu Kipa wa Yanga katulia sana, hana hata wasiwasi.
Dakika ya 45
Simba 0-2 Yanga
Yanga wanakoswakoswa......Barthez anadaka
zinarudi mbona hizo, mpira bado sana.Job DONE, kuna msemo unasema siku njema huonekana asubuhi it means Yanga ndio washindi