Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Dakika ya 45

Simba 0-2 Yanga

Yanga wanakoswakoswa......Barthez anadaka
 
Fulikaga ong'wise umogwe!! Mkiachiwa huwa mnachonga mno! Tukitoka half time tunawapiga mengine matatu!

Ong'wise kuna hatari ya mechi zilizobaki tukafungwa zote endapo hii ya leo tutapoteza maana kuna Coastal Union, Azam, Kagera Sugar na Ashanti United ambao nao siku hizi hawataki masihara kabisa.
 
Kwa wanaojua game/mpira hii. Match ni ya Yanga!!Nilishaahidi juzi kumeza kisu Simba akishinda!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom