Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
318029_567810716565625_1832134858_n.jpg

ushindwe katika jina la YESU na Mungu wako shetani. Huwezi kutuwekea katuni yenye ma alama ya freemasons!
 
Edo Kumwembe anadai Ngassa na Niyonzima waadhibiwe kwa kuonesha mchezo wa dharau dhidi ya Simba....
 
Dah..haiwezekani.. lazima Simba watakua wameuza game..this is humiliation! Ngoja tuangalie kipindi cha pili..
 
Jamaa leo wakicheza kwa balance ya munzani tunapigwa 6! Oooh, ingekuwa inawezekana, basi mi ningehamia Mbeya City! Hawa thimba wameruhusu chungura achejee mpaka meno chacha!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Amis Tambweeeeee....................Kona

Naona anafufuka huyu jamaa

1st half alipotea kabisa...

Tambwe anacheza foul....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom