NKUU SINDE KWETU
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 830
- 91
Yanga, hata nipewe hela siwashabikii...goli tatu zimerudi bila ushindani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu, naona ulipo muona Simba kafumba macho ulizani kafa, Kumbe alisinzia tu.wamepata sare kelele tupu!
Joto la bongo unalijua ww?this is Africa bhanamakocha wa ulaya huwa wanavaa suti huku kwe2 ni vipi?
Asante sana...bora wewe umelijua hili, game ilikuwa na presha sana hiliHongereni simba nyie ni midume ya ukweli!
nyie yanga bana mbona hatujamsikia kateni wenu bana mmlijua kuna tano nini..
wamepata sare kelele tupu!
Pole mkuu, naona ulipo muona Simba kafumba macho ulizani kafa, Kumbe alisinzia tu.
Hahaa mkuu wasamehe bure, utaua!!Wale waliokuwa wanasema Yanga asiposhinda wanameza kisu nataka niwatafute nina visu kama vitatu, na yule aliyesema kila goli moja Simba ikipata ban siku tatu, Invisible wale wote waliotaka kufungiwa endapo Simba itapata goli bila kujali kama itashinda au la, naomba utekelezaji wa ombi lao.
aungurumapo ucheza nani??Simba chomoeni jamah!!
na kinyume chake.
Inaelekea mchawi wenu alichelewa kuingia uanjani, alipo ingia mambo yote yakawa shwari.Asante sana...bora wewe umelijua hili, game ilikuwa na presha sana hili
...ngoja tusubiri, tuone HEMED KIVUYO atakuja na kauli gani kupitia ITV michezo.
Huwezi kunielewa, yupi wa maana kati ya aliyepata mali mapema na kushindwa kuzilinda na kufuja ovyo na yule aliyehangaika akaja akapata uzeeni na kuzilinda?
Naona uliingia mitini mtani.......Shabiki lazima ukomae mwanzo mwisho.....Yeboyebo mnabahati sana, mnajisifia timu nzuri mnashindwa kulinda goli tatu ndani ya dak 45, Beki ya Yanga ovyo kweli na kama hawa vijana Ndemla na Lucian wangeanza toka mwanzo tungekuwa tunaongea mengine hadi sa hivi.
Yanga, hata nipewe hela siwashabikii...goli tatu zimerudi bila ushindani