Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Da! Tambwe aliunasa mpira,akampa ngasa,ngasa akatoag kwa msuva,msuva akapga ndan ya sita ngasa akapshana nao, niyonzma akawa offside! Jpo alshakosa

leo zam yetu sie tunapoteza mechi za ndan tuuu za nje tunafunga
 
bado yanga mnamlima mrefu mkienda zimbabwe mnapigwa tatu bila za fitina na ndo inakuwa mwisho wa habari!
 
Mikia, mama wa makahaba na binti yake Azam wamenuna kinoma!

Mkuu Makoye huku mtaani maeneo ya boko wamenikimbia wote, nawanywea viroba hapa vikinikoloe kisawasawa naenda kuwatafuta mana walinisumbua sana jpili iliyopita hawa mashabiki wa mikia
 
Jamani wafungaji nana na nani,natoka kulalA saizi
 
5-1 siyo haba.
Tujipange na anayekuja huyu keshatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…