Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Mikia mtasubiri sana kushiriki michuano kama hii, timu yenu haina uwezo wa kupata nafasi hiyo hata mwaka huu. Jambo la kushangaza hamuishiwi maneno! Uwezo wa timu yenu ni kufunga goli moja tu kupitia kwa Okwi nje ya yard 18, akidhibitiwa huyo Okwi mnaambulia 0-0, sasa hivi unaota kuwafunga Platinum goli 10! Majanga!

Wanaweweseka hawa mkuu
 
FULL TIME:

YANGA SC 5 - FC PLATINUM 1.

Hongereni Yanga, tulijua tu leo ushindi lazima. Tukienda kwao tunamaliza mchezo.
Tunarahaje sasa leo uwiiiiii...

#YANGA #
 
nana amenunaaa..BABY AKE STAND UNTD...nani amenuna BABY AKE STAND UNTD...hahahahahaha...yanga woyeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
FULL TIME:

YANGA SC 5 - FC PLATINUM 1.

Hongereni Yanga, tulijua tu leo ushindi lazima. Tukienda kwao tunamaliza mchezo.
Tunarahaje sasa leo uwiiiiii...

#YANGA #

Mna haki ya kufurahi kwa ushindi huo, hongereni sana. Hii timu ya Mugabe bure kabisa.
 
SIE INTERNATIONAL LEVEL tumuache mywife wa stand united aendelee kubwabwajq hapa hapa bongo
 
Du, safi sana, Yanga wajipange tu mechi ijayo wasibweteke na hayo magoli, mchezo haujaisha bado....kama tumeweza kuwafunga kwetu goli tano kwa moja, nao wana uwezo wa kutufunga goli nne bila huko kwao,.....pointi yangi ni kuwa YANGA WASIBWETEKE KABISA na ushindi huu, ila ki ukweli ni ushindi mnono...Hongereni YANGA!
 
Back
Top Bottom