VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 2,987
- 1,954
afadhali tupumue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikia mtasubiri sana kushiriki michuano kama hii, timu yenu haina uwezo wa kupata nafasi hiyo hata mwaka huu. Jambo la kushangaza hamuishiwi maneno! Uwezo wa timu yenu ni kufunga goli moja tu kupitia kwa Okwi nje ya yard 18, akidhibitiwa huyo Okwi mnaambulia 0-0, sasa hivi unaota kuwafunga Platinum goli 10! Majanga!
dakika ya ngapi?
Amavubi mbona hutoi updates aisee..
nana amenunaaa..BABY AKE STAND UNTD...nani amenuna BABY AKE STAND UNTD...hahahahahaha...yanga woyeeeeeeeeeeeeeeeeee
FULL TIME:
YANGA SC 5 - FC PLATINUM 1.
Hongereni Yanga, tulijua tu leo ushindi lazima. Tukienda kwao tunamaliza mchezo.
Tunarahaje sasa leo uwiiiiii...
#YANGA #
Mtu kapigwa mkono
Telela 1Jamani wafungaji nana na nani,natoka kulalA saizi
FULL TIME:
YANGA SC 5 - FC PLATINUM 1.
Hongereni Yanga, tulijua tu leo ushindi lazima. Tukienda kwao tunamaliza mchezo.
Tunarahaje sasa leo uwiiiiii...
#YANGA #
Njoo tunywe bia sasa Bantu lady