mkwe mkwepe
Senior Member
- Feb 24, 2015
- 153
- 29
Ahaaahaa! Hapana mkuu, wakuu kama wakina wabhejasana huwa hawapendi vitu nusu nusu, ndio inabd useme hvyo mkuu.
Hahahaaa unanikosha kama sio basi unakipaji cha kutangaza mpira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaahaa! Hapana mkuu, wakuu kama wakina wabhejasana huwa hawapendi vitu nusu nusu, ndio inabd useme hvyo mkuu.
Hawa Platinum bure kabisa, sisi tumejitolea kuwapa support halafu ndo wanafungwa migoli yote hiyo utafikiri Netball.
Da! Tambwe aliunasa mpira,akampa ngasa,ngasa akatoag kwa msuva,msuva akapga ndan ya sita ngasa akapshana nao, niyonzma akawa offside! Jpo alshakosa
nifah leo umejificha wapi leo??
Mikia, mama wa makahaba na binti yake Azam wamenuna kinoma!
hao wangekutana na mnyama wangepigwa kumi.
Gooooooooo!
Yanga 5-1 Platinum