Kunyweni tu hata Konyagi.
Mna raha leo.
BTW mzima mkubwa?
Looooooong time.
Naona leo mmewakamata vibonde wa Bulawayo.
Mna haki ya kufurahi kwa ushindi huo, hongereni sana. Hii timu ya Mugabe bure kabisa.
magoli yamefungwa na nani jamani?
yanga daima asiyeipenda yanga mchawi.
Kila siku huwa nawaambia mashabiki wa mikia kuwa Yanga huwa inatafuta kocha ambaye anaweza kuongoza timu kufanya vizuri kwenye ligi ya ndani na mashindano ya kimataifa kama haya, wao wako busy kutafuta kocha wa kuja kumfunga Yanga tu
Ngasa2 Telele1 Niyonzima1 Tambwe1
Al ahly shandi mliwafunga mangapi vile!!?
ngap gap wakuu??
Njoo tunywe bia sasa Bantu lady
Raha sana!!
uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwi wkt mikia ikifikiria kumfunga yanga,yanga yanga inafikiria kuchukua kombe la ligi na champions