Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Yanga ina wenyewe, na wenyewe ndio sisi. Tushinde, tufungwe, Yanga daima!
 
Ahsante sana timu ya wananchi dar young africans kwa kutupa raha.
Sisi yanga 5-1 wao.
 
uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwi wkt mikia ikifikiria kumfunga yanga,yanga yanga inafikiria kuchukua kombe la ligi na champions
 
Mna haki ya kufurahi kwa ushindi huo, hongereni sana. Hii timu ya Mugabe bure kabisa.

Mkuu siye ni matawi ya juu, tulijitoa kikamilifu kujiandaa na hii mechi, tulikubali hata kushushwa madaraja mawili ili tushindee hii mechi.

Sasa tuleteeni Ruvu JKT na wengineo tuoneshe gap halisi lililopo kati yetu na mikia.
 
Kila siku huwa nawaambia mashabiki wa mikia kuwa Yanga huwa inatafuta kocha ambaye anaweza kuongoza timu kufanya vizuri kwenye ligi ya ndani na mashindano ya kimataifa kama haya, wao wako busy kutafuta kocha wa kuja kumfunga Yanga tu

Sasa hivi tayari wanawaza mechi ijayo na Yanga. Yanga is a big team lazima tuangalie picha kubwa zaidi.
 
اهل yanga اليوم في غاية الفرح،ونرجو ان نخلص مزيحنالذي يكاد ان ينزل من ليغ،وعليه ان يسأل نفسه هل هو مسجل ليلعب مع ينغا فقط؟ستموتون بضغط الدم هذه السنة،هههههههههههههههههههههههههههههه
 
uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwi wkt mikia ikifikiria kumfunga yanga,yanga yanga inafikiria kuchukua kombe la ligi na champions

Masikini hawa ndo mashabiki wenyewe hajui hata timu yake inashiriki kombe gani.
 
Back
Top Bottom