Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

bmdulki oyrskfgk nn liuey rsfshks jdkdlkedo
 
Mkuu siye ni matawi ya juu, tulijitoa kikamilifu kujiandaa na hii mechi, tulikubali hata kushushwa madaraja mawili ili tushindee hii mechi.

Sasa tuleteeni Ruvu JKT na wengineo tuoneshe gap halisi lililopo kati yetu na mikia.
JKT Ruvu mtaifunga kwa sababu ya Minziro hilo halina hata ubishi lakini kadri mnavyoenda gap la pointi litabaki kuwa finyu.
 
una moyo. wenzio wote wamekimbia umebaki peke yako hapa
Hata kama ingekuwa imefungwa Simba ningekuwepo kusherehesha jamvi, mpira una kushinda, sare au kufungwa. Sasa hawa Wazimbabwe sijui walikuwa wanashangaa uwanja wa Taifa. Goli tano sijui hata waliwezaje kuwatoa vijana wa papa Kalekwa.
 
Mkuu Makoye huku mtaani maeneo ya boko wamenikimbia wote, nawanywea viroba hapa vikinikoloe kisawasawa naenda kuwatafuta mana walinisumbua sana jpili iliyopita hawa mashabiki wa mikia

we nae hujielewi! Sisi tumekupiga halafu umpige teja uje kututambia vidume! Akili zako km za muro!
 
JKT Ruvu mtaifunga kwa sababu ya Minziro hilo halina hata ubishi lakini kadri mnavyoenda gap la pointi litabaki kuwa finyu.

Hatupotezi mechi tena. Sikumbuki ni lini Yanga ilipoteza mechi 3 katika msimu wa ligi ukiondoa msimu huu. Tulizopoteza zatosha, sasa ni mwendo mdundo tu hadi ubingwa.
 
we nae hujielewi! Sisi tumekupiga halafu umpige teja uje kututambia vidume! Akili zako km za muro!

kidume chako stand united bwana halafu bado wajiita kidume kisa una mindevu!!! . yanga international bwana
 
ila simba dawa yenu!

Marefa wanazi wa Simba wanatuua sana. Nashauri TFF wawe wanaleta marefa toka nchi za nje bila kuhusisha nchi 5 za Afrika Mashariki, maana hawa nao wana unazi na hizi timu. Fikiria Musonye angekuwa refa akichezesha mechi ya Yanga na Simba, angeitendea vipi Yanga? Masala mu kichwa!

Wamekuja marefa toka nje wametafsiri sheria 17 vizuri, matokeo mmeyaona.

Nasikia mikia wamekata rufaa kupinga ushindi wa Yanga wa leo kwa Yanga kumchezesha Niyonzima aliyelimwa kadi nyekundu na refa shabiki wa mikia katika mechi ya Machi 8, teh teh teh!
 
Hata kama ingekuwa imefungwa Simba ningekuwepo kusherehesha jamvi, mpira una kushinda, sare au kufungwa. Sasa hawa Wazimbabwe sijui walikuwa wanashangaa uwanja wa Taifa. Goli tano sijui hata waliwezaje kuwatoa vijana wa papa Kalekwa.

Si wa kubeza hao. Wamemnyoa Sofapaka home and away!
 
mlipowafunga mbeya city walikuwa marefa wa yanga!! We nae walewale tu huna lolote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…