Hii ndio Yanga ya kimataifa bwana, sio wale wenzetu ambao hawajatoka hata mpakani inaenda miaka kibao sasa...
mnasaka huruma mmesahu ya TP Mazembe
Daima Mbele Nyuma Mwiko
Hahahaaa, mikia noma wakibahatisha!
na kweli leo ni zamu yetu watuwache maana siku ile nifah tulibaki peke yetu tu tunagugumia maumivu ya kufungwa na mikia
Wataishia ndondo kila mwaka.
Mkuu ngoja nikufafanulie, nilijua ungeelewa niliposema kwa kifupi lakini naona hujaelewa. Ni hivi; Timu zinazoshiriki ligi kuu ziko 14, kila timu inatakiwa kucheza mechi moja nyumbani na mechi moja ugenini na kila timu kwa timu 13, hivyo kila timu itacheza mechi 13 nyumbani na mechi 13 ugenini jumla zinakuwa mechi 26.Yanga kacheza mechi 16 hadi sasa
Simba kacheza mechi 18 hadi sasa
Mkuu ngoja nikufafanulie, nilijua ungeelewa niliposema kwa kifupi lakini naona hujaelewa. Ni hivi; Timu zinazoshiriki ligi kuu ziko 14, kila timu inatakiwa kucheza mechi moja nyumbani na mechi moja ugenini na kila timu kwa timu 13, hivyo kila timu itacheza mechi 13 nyumbani na mechi 13 ugenini jumla zinakuwa mechi 26.
Bahati nzuri unajua Yanga kacheza mechi 16 naamini hizi hesabu zetu wakulima na wafugaji hazikupigi chenga. 26-16=10.
Mpaka hapo naamini utaelewa na kukubali kwamba Yanga bado ana mechi kumi na kati ya hizo atatoa sare zingine, zingine atafungwa na zingine atashinda.
We jamaa sijui kwanin unapenda kutoa comments za matusi!!!Huko mbele ndiko Simba anakokupenda zaidi, nyuma alikuonja mwaka 2012 tu baada ya kugonga 4 mbele akaona ageuze na nyuma aonje japo kimoja tu.
Kwa kuwa na wewe ni mrithi wa Sheikh Yahya pia ndo maana umetabiri kwamba hayo uliyoyaandika yatakuwa kichwani mwangu bila kuyasoma popote? maana mimi sijayaandika.Kwa kuwa ww ndie mrithi wa sheikh yahya,unataka kutuambia wakati Yanga anafungwa na kudroo ktk mechi zilizobaki,mikia mtakuwa mnashinda tu mechi zenu?
Simba dume linakawaida ya kuachia jike kuwinda ila likirudi msosi anaanza kula mume.
Miaka kibao ipi wakati wakati mwaka 2013 tu hapo alikuwakilisha kwenye Klabu Bingwa Afrika na sio vikombe vya mbuzi kama anavyoshiriki Yanga na wanamuziki wenzie sijui Makhirkhir na akina Dimond Platinumz....Hii ndio Yanga ya kimataifa bwana, sio wale wenzetu ambao hawajatoka hata mpakani inaenda miaka kibao sasa...
Ahsante sana mkolaj.Ujue hadi wakati mwingine nashindwa kuingia katika hili jukwaa sababu ya matusi.We jamaa sijui kwanin unapenda kutoa comments za matusi!!!
Unajua watu sio kwamba hatuwez hayo matusi lakin kutokana na busara zetu tumeamua kukaa kimya ili kulinda heshima ya hili jukwaa.
Ndugu hebu badilika bwana kuwa muungwana kama akina Amavubi, Sembo, Masuke, OKWI BOBAN SUNZU, na wengine wengi wanatoa comments za kihoja zaidi na sio unatoa comments za matusi kila leo.
Ndugu utakapozidi kufanya hivyo ipo siku nasi tutarudi kukujibu tena kwa kasi ya ajabu. Na hapo ndipo heshima ya hili jukwaa itakapopotea.
Hivi na wewe unaendaga kanisani jamani?Loh....Mrembo una hamu na mimi, nimerudi. Nilikuwa safarini Tanga nimerudi Bongo jana usiku kutoka kumuona Baba Mzazi alikuwa anajisikia ndivyo sivyo kidogo, leo nilikuwa bize na Church kuomba baraka za Mungu.
Sema mama....
we nae hujielewi! Sisi tumekupiga halafu umpige teja uje kututambia vidume! Akili zako km za muro!
Kwa kuwa ww ndie mrithi wa sheikh yahya,unataka kutuambia wakati Yanga anafungwa na kudroo ktk mechi zilizobaki,mikia mtakuwa mnashinda tu mechi zenu?