Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Hivi grafani11 sembo na Freeland wana ban au? Mbona siwaoni???

Mrembo una hamu na mimi, nimerudi. Nilikuwa safarini Tanga nimerudi Bongo jana usiku kutoka kumuona Baba Mzazi alikuwa anajisikia ndivyo sivyo kidogo, leo nilikuwa bize na Church kuomba baraka za Mungu.
Sema mama....
 
Last edited by a moderator:
Hii ndio Yanga ya kimataifa bwana, sio wale wenzetu ambao hawajatoka hata mpakani inaenda miaka kibao sasa...

Yale magoli matano yanakukumbusha nini?
Mechi ya kimataifa au ya ukanda wa Cecafa? Maana mmetoka kwa Makhirkhir vibonde Botswana mmepangiwa Oliver Mtukudz wote wanamuziki, je mngepangiwa wazee wa Kazi kama wenzenu Azam mngesemaje
 
Nawapongeza wanamsimbazi wote walioisapoti yeboyebo hii leo, maana hawa ni wetu tusipowapa faraja angalau wasahau Shedede letu la jumapili wanaweza wasituachie Mbunye tena. Disemba sio mbali.
 
na kweli leo ni zamu yetu watuwache maana siku ile nifah tulibaki peke yetu tu tunagugumia maumivu ya kufungwa na mikia

Kimoja kinauma maana Okwi alikikandamiza bila maandalizi yoyote, bora upigwe 5, 3, au 2 inakuwa mbunye imelegea tayari.
 
Last edited by a moderator:
Yanga kacheza mechi 16 hadi sasa
Simba kacheza mechi 18 hadi sasa
Mkuu ngoja nikufafanulie, nilijua ungeelewa niliposema kwa kifupi lakini naona hujaelewa. Ni hivi; Timu zinazoshiriki ligi kuu ziko 14, kila timu inatakiwa kucheza mechi moja nyumbani na mechi moja ugenini na kila timu kwa timu 13, hivyo kila timu itacheza mechi 13 nyumbani na mechi 13 ugenini jumla zinakuwa mechi 26.

Bahati nzuri unajua Yanga kacheza mechi 16 naamini hizi hesabu zetu wakulima na wafugaji hazikupigi chenga. 26-16=10.

Mpaka hapo naamini utaelewa na kukubali kwamba Yanga bado ana mechi kumi na kati ya hizo atatoa sare zingine, zingine atafungwa na zingine atashinda.
 
Kwa kuwa ww ndie mrithi wa sheikh yahya,unataka kutuambia wakati Yanga anafungwa na kudroo ktk mechi zilizobaki,mikia mtakuwa mnashinda tu mechi zenu?
 
Huko mbele ndiko Simba anakokupenda zaidi, nyuma alikuonja mwaka 2012 tu baada ya kugonga 4 mbele akaona ageuze na nyuma aonje japo kimoja tu.
We jamaa sijui kwanin unapenda kutoa comments za matusi!!!
Unajua watu sio kwamba hatuwez hayo matusi lakin kutokana na busara zetu tumeamua kukaa kimya ili kulinda heshima ya hili jukwaa.
Ndugu hebu badilika bwana kuwa muungwana kama akina Amavubi, Sembo, Masuke, OKWI BOBAN SUNZU, na wengine wengi wanatoa comments za kihoja zaidi na sio unatoa comments za matusi kila leo.
Ndugu utakapozidi kufanya hivyo ipo siku nasi tutarudi kukujibu tena kwa kasi ya ajabu. Na hapo ndipo heshima ya hili jukwaa itakapopotea.
 
Kwa kuwa ww ndie mrithi wa sheikh yahya,unataka kutuambia wakati Yanga anafungwa na kudroo ktk mechi zilizobaki,mikia mtakuwa mnashinda tu mechi zenu?
Kwa kuwa na wewe ni mrithi wa Sheikh Yahya pia ndo maana umetabiri kwamba hayo uliyoyaandika yatakuwa kichwani mwangu bila kuyasoma popote? maana mimi sijayaandika.
 
Hii ndio Yanga ya kimataifa bwana, sio wale wenzetu ambao hawajatoka hata mpakani inaenda miaka kibao sasa...
Miaka kibao ipi wakati wakati mwaka 2013 tu hapo alikuwakilisha kwenye Klabu Bingwa Afrika na sio vikombe vya mbuzi kama anavyoshiriki Yanga na wanamuziki wenzie sijui Makhirkhir na akina Dimond Platinumz....
 
Up next Yanga will play the winner between E.S. Sahel - Tunisia vs de Luanda - Angola, in the first leg match E.S. Sahel won 1-0 at home thanks to a penalty spot kick converted in the 53'. If Yanga will manage to win that game they will qualify in the group stage that will consist last 8 teams in Confederations Cup and those 8 eliminated in the last 16 of CAF Champions League
 
We jamaa sijui kwanin unapenda kutoa comments za matusi!!!
Unajua watu sio kwamba hatuwez hayo matusi lakin kutokana na busara zetu tumeamua kukaa kimya ili kulinda heshima ya hili jukwaa.
Ndugu hebu badilika bwana kuwa muungwana kama akina Amavubi, Sembo, Masuke, OKWI BOBAN SUNZU, na wengine wengi wanatoa comments za kihoja zaidi na sio unatoa comments za matusi kila leo.
Ndugu utakapozidi kufanya hivyo ipo siku nasi tutarudi kukujibu tena kwa kasi ya ajabu. Na hapo ndipo heshima ya hili jukwaa itakapopotea.
Ahsante sana mkolaj.Ujue hadi wakati mwingine nashindwa kuingia katika hili jukwaa sababu ya matusi.
Huu ni uwendawazimu na uswahili uliopitiliza.
 
Last edited by a moderator:
Mrembo una hamu na mimi, nimerudi. Nilikuwa safarini Tanga nimerudi Bongo jana usiku kutoka kumuona Baba Mzazi alikuwa anajisikia ndivyo sivyo kidogo, leo nilikuwa bize na Church kuomba baraka za Mungu.
Sema mama....
Hivi na wewe unaendaga kanisani jamani?Loh....
 
we nae hujielewi! Sisi tumekupiga halafu umpige teja uje kututambia vidume! Akili zako km za muro!

Kiroho kinawauma sana huo ndiyo ukweli, sawa umenipiga mana nguvu zako zote ulielekeza kwangu. Sie tulikuwa tunacheza simple mana maana nguvu na akili zote tulielekeza kwenye majukumu mazito ya kimataifa. Kama hutumii nywele kufikiria jaribu kujiuliza kwanini baada ya mikia kutufunga hali ilikuwa shwali kabisa kwa upande wa Yanga, nadhani jana umeona mwenyewe sitaki sana kubishana na mbulula mana unaweza kuniambukiza utahira wako
 
Kwa kuwa ww ndie mrithi wa sheikh yahya,unataka kutuambia wakati Yanga anafungwa na kudroo ktk mechi zilizobaki,mikia mtakuwa mnashinda tu mechi zenu?

Anajitibu kisaikolojia kwani anazidiwa point 2 na yuko mbele mechi 2.
Mwache ajifariji kwa kujitabiria atakavyo.
 
Back
Top Bottom