Yaani wewe jamaa unaoneka hata katika hali ya kawaida sio mstaraabu kabisa, kwann unapenda sana kuongea lugha za kuwachukiza wenzako, hebu jaribu kuwa muungwana bwana ili hizo ibada zako unazofanya zipokelewe na mungu wako.Mrembo una hamu na mimi, nimerudi. Nilikuwa safarini Tanga nimerudi Bongo jana usiku kutoka kumuona Baba Mzazi alikuwa anajisikia ndivyo sivyo kidogo, leo nilikuwa bize na Church kuomba baraka za Mungu.
Sema mama....
Aisee pamoja na kukuelewesha kote huko unashindwa kushukuru badala yake unazidi kunizodoa tu?Anajitibu kisaikolojia kwani anazidiwa point 2 na yuko mbele mechi 2.
Mwache ajifariji kwa kujitabiria atakavyo.
Aisee pamoja na kukuelewesha kote huko unashindwa kushukuru badala yake unazidi kunizodoa tu?
Ok basi ngoja niseme hivi "Yanga atashinda mechi zote zilizobaki tena kwa ushindi mnene kama alioshinda jana na atakuwa bingwa kwa jumla ya point 61", hope this sounds good for you.
Popote ninapotajwa naona haraka; ila nishauri sisi wenyewe tujikite kwenye mijadala bila kuumizana.
Endelea kujidanganya na kiingereza cha kuombea maji hicho, watu tumeishi na wazungu na bado hatukuwapigia magoti sembuse hiyo sentensi moja.....No wonder common sense is not so common.
Ongea kama mtu mzima mwenye akili timamu basi, hapo nilipoongea na nifah nimetukana wapi? Au ndiyo unawashwa kunichokoza ili upate cha kuandika. Kamwe siwezi kuwa mstaarabu kwa mtu mshezi hilo ni swala la kikanuni tu.Yaani wewe jamaa unaoneka hata katika hali ya kawaida sio mstaraabu kabisa, kwann unapenda sana kuongea lugha za kuwachukiza wenzako, hebu jaribu kuwa muungwana bwana ili hizo ibada zako unazofanya zipokelewe na mungu wako.
grafani huwa sipendi kusoma comments zako kwa sababu unatukana sana. Sijui unafanya makusudi au ndivyo ulivyoumbwa hivyo!!!!!
mkolaj huyu ndiyo mstaarabu unayemtaka au siyo? Siyo bure mashabiki wa yeboyebo inabidi tuwapime akili zenu si salama. Mpira umewashinda mnakalia matusi halafu mnalalamika mnatukanwa.Kiroho kinawauma sana huo ndiyo ukweli, sawa umenipiga mana nguvu zako zote ulielekeza kwangu. Sie tulikuwa tunacheza simple mana maana nguvu na akili zote tulielekeza kwenye majukumu mazito ya kimataifa. Kama hutumii nywele za kwenye tigo yako kufikiria jaribu kujiuliza kwanini baada ya mikia kutufunga hali ilikuwa shwali kabisa kwa upande wa Yanga, nadhani jana umeona mwenyewe sitaki sana kubishana na mbulula mana unaweza kuniambukiza utahira wako
Endelea kujidanganya na kiingereza cha kuombea maji hicho, watu tumeishi na wazungu na bado hatukuwapigia magoti sembuse hiyo sentensi moja.....
Yaani wewe jamaa unaoneka hata katika hali ya kawaida sio mstaraabu kabisa, kwann unapenda sana kuongea lugha za kuwachukiza wenzako, hebu jaribu kuwa muungwana bwana ili hizo ibada zako unazofanya zipokelewe na mungu wako.
grafani huwa sipendi kusoma comments zako kwa sababu unatukana sana. Sijui unafanya makusudi au ndivyo ulivyoumbwa hivyo!!!!!
Bantu lady hongera sana kwa ushindi wa jana.......
Huko mbele ndiko Simba anakokupenda zaidi, nyuma alikuonja mwaka 2012 tu baada ya kugonga 4 mbele akaona ageuze na nyuma aonje japo kimoja tu.
Hongereni kwa ushindi mkubwa.....Yanga imejitahidi kiasi chake
OKWI pia anawapongeza sana
Hamuwezi kutoa pongezi bila vijineno?Tupo tunawachora mnavyofurahia ushindi.. Ila hongereni mmejitahidi.
Hamuwezi kutoa pongezi bila vijineno?
Aisee siwawezi!