mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
Yaani wewe jamaa unaoneka hata katika hali ya kawaida sio mstaraabu kabisa, kwann unapenda sana kuongea lugha za kuwachukiza wenzako, hebu jaribu kuwa muungwana bwana ili hizo ibada zako unazofanya zipokelewe na mungu wako.Mrembo una hamu na mimi, nimerudi. Nilikuwa safarini Tanga nimerudi Bongo jana usiku kutoka kumuona Baba Mzazi alikuwa anajisikia ndivyo sivyo kidogo, leo nilikuwa bize na Church kuomba baraka za Mungu.
Sema mama....
grafani huwa sipendi kusoma comments zako kwa sababu unatukana sana. Sijui unafanya makusudi au ndivyo ulivyoumbwa hivyo!!!!!