Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Mrembo una hamu na mimi, nimerudi. Nilikuwa safarini Tanga nimerudi Bongo jana usiku kutoka kumuona Baba Mzazi alikuwa anajisikia ndivyo sivyo kidogo, leo nilikuwa bize na Church kuomba baraka za Mungu.
Sema mama....
Yaani wewe jamaa unaoneka hata katika hali ya kawaida sio mstaraabu kabisa, kwann unapenda sana kuongea lugha za kuwachukiza wenzako, hebu jaribu kuwa muungwana bwana ili hizo ibada zako unazofanya zipokelewe na mungu wako.
grafani huwa sipendi kusoma comments zako kwa sababu unatukana sana. Sijui unafanya makusudi au ndivyo ulivyoumbwa hivyo!!!!!
 
Anajitibu kisaikolojia kwani anazidiwa point 2 na yuko mbele mechi 2.
Mwache ajifariji kwa kujitabiria atakavyo.
Aisee pamoja na kukuelewesha kote huko unashindwa kushukuru badala yake unazidi kunizodoa tu?

Ok basi ngoja niseme hivi "Yanga atashinda mechi zote zilizobaki tena kwa ushindi mnene kama alioshinda jana na atakuwa bingwa kwa jumla ya point 61", hope this sounds good for you.
 
Aisee Kumbe jana tulishunda? maana tangu jumapili iliyopita sijaweka bando kwenye cm
 
Aisee pamoja na kukuelewesha kote huko unashindwa kushukuru badala yake unazidi kunizodoa tu?

Ok basi ngoja niseme hivi "Yanga atashinda mechi zote zilizobaki tena kwa ushindi mnene kama alioshinda jana na atakuwa bingwa kwa jumla ya point 61", hope this sounds good for you.

Mkuu Masuke umejitahidi sana kufafanua, nadhani shabiki mwenzangu kaelewa.

Nina ushauri kwako Mkuu Masuke, tafadhali naomba umshauri grafani11 aache utoto, naamini ukim-pm wewe atakuelewa. Ushabiki siyo chuki, matusi na maneno mengine ya kuudhi.

Eti anauliza huko Katavi na Rukwa JF haijafika; wakati katika post yangu nimeeleza wazi kuwa nilikuwa maeneo yenye shida ya umeme. Jamaa kwa kweli anaboa!

CC. Invisible: Tumechoka kusoma posts zenye matusi toka kwa grafani11, wakati umefika JF Rules zitumike ipasavyo.
 
Last edited by a moderator:
CC. Invisible: Tumechoka kusoma posts zenye matusi toka kwa grafani11, wakati umefika JF Rules zitumike ipasavyo.
Popote ninapotajwa naona haraka; ila nishauri sisi wenyewe tujikite kwenye mijadala bila kuumizana.

Utani usivuke mipaka na jukwaa hili lisihitaji kuwa linaingiliwa sana na mods. We can make it happen!

cc grafani11
 
Last edited by a moderator:
No wonder common sense is not so common.
Endelea kujidanganya na kiingereza cha kuombea maji hicho, watu tumeishi na wazungu na bado hatukuwapigia magoti sembuse hiyo sentensi moja.....
 
Yaani wewe jamaa unaoneka hata katika hali ya kawaida sio mstaraabu kabisa, kwann unapenda sana kuongea lugha za kuwachukiza wenzako, hebu jaribu kuwa muungwana bwana ili hizo ibada zako unazofanya zipokelewe na mungu wako.
grafani huwa sipendi kusoma comments zako kwa sababu unatukana sana. Sijui unafanya makusudi au ndivyo ulivyoumbwa hivyo!!!!!
Ongea kama mtu mzima mwenye akili timamu basi, hapo nilipoongea na nifah nimetukana wapi? Au ndiyo unawashwa kunichokoza ili upate cha kuandika. Kamwe siwezi kuwa mstaarabu kwa mtu mshezi hilo ni swala la kikanuni tu.

Laiti kama ungekuwa unajitambua ungegundua kuwa mimi huwa najibu matusi hasa yako wewe, mara nyingi nimekuwa nikikuquote ukiwaita washabiki wa Simba mbumbumbu na matusi mengi tu. Kwa taarifa tu ni kwamba nakufuatilia sana tu pamoja na wengine wote ambao hujiona wao ni mabingwa wa kutukana na mara nyingi kabla ya kujibu huwa natoa angalizo kuwa usijifunze matusi ukubwani kuna watu tumekulia Pwani, ukiyataka nenda Bandarini.
 
Kiroho kinawauma sana huo ndiyo ukweli, sawa umenipiga mana nguvu zako zote ulielekeza kwangu. Sie tulikuwa tunacheza simple mana maana nguvu na akili zote tulielekeza kwenye majukumu mazito ya kimataifa. Kama hutumii nywele za kwenye tigo yako kufikiria jaribu kujiuliza kwanini baada ya mikia kutufunga hali ilikuwa shwali kabisa kwa upande wa Yanga, nadhani jana umeona mwenyewe sitaki sana kubishana na mbulula mana unaweza kuniambukiza utahira wako
mkolaj huyu ndiyo mstaarabu unayemtaka au siyo? Siyo bure mashabiki wa yeboyebo inabidi tuwapime akili zenu si salama. Mpira umewashinda mnakalia matusi halafu mnalalamika mnatukanwa.
 
Endelea kujidanganya na kiingereza cha kuombea maji hicho, watu tumeishi na wazungu na bado hatukuwapigia magoti sembuse hiyo sentensi moja.....

Lete chako cha kuombea beer. Hoja iendane na hoja, kama ni hoja mpya usi-quote ndiyo maana yangu.
 
Yaani wewe jamaa unaoneka hata katika hali ya kawaida sio mstaraabu kabisa, kwann unapenda sana kuongea lugha za kuwachukiza wenzako, hebu jaribu kuwa muungwana bwana ili hizo ibada zako unazofanya zipokelewe na mungu wako.
grafani huwa sipendi kusoma comments zako kwa sababu unatukana sana. Sijui unafanya makusudi au ndivyo ulivyoumbwa hivyo!!!!!

Hivi kumbe na nyie mmemuona nilifikri peke yangu,hata mimi cpendi komenti zake huyu jamaa ajirekebishe
 
Ahsante sana dear everlenk, ushindi ulikuwa wa kimbunga ule. Sasa tuna amani ya kwenda kwa Mzee Mugabe... hope uko okay mamii.

Niko poa mumy,kila la heri wawakilishi wetu wa ukweeee...........
 
Last edited by a moderator:
Intaneshino zaidi....! Baba anaenda kazini mama anabaki nyumbani kuogesha watoto..
 
Back
Top Bottom