Nilikujibu vile baada ya kusema kwamba Magufuli kafa kwasababu alikuwa katili.Nilitaka ujue kwamba uwe katili au usiwe katili kufa utakufa tu,na amini kwamba Kila mmoja atawatangulia kufa watu fulani,muhimu ni kuomba na kuisubiri zamu yako kwa hekima sio kuropoka maneno kama vile umekuja kukaa milele hapa duniani. Acha kufurahia kifo cha mwenzako.
NAOMBA NIKUONGEZEE KITU HAPO CHINI[emoji116] juu ya huu comment yako niliyoiquote.
Mimi nakukumbusha tu kuwa, sio kila anaekufa mapema basi sio mcha Mungu. Ingekuwa ni kumcha Mungu ni kigezo cha kutokufa basi wote wangemcha. Ila maisha ni tofauti sana anakufa mcha Mungu anabaki jambazi, malaya, mwizi, muuwaji au kinyume chake.Hakuna anaechagua kufa akiwa na tabasamu,buheri wa afya au laah.Swala la kujihakikishia kwamba utapata muda wa kutubu nalo naona ni utani tu[emoji28], maana kifo hakijawahi kutoa taarifa.
Kuwahiyo hata uandike nini kufa tutakufa tu, na naona sikuizi mmejisahau sana mnaiwaza Corona tu, wakati kifo kikifika kinachukua hata kama ni mzima wa afya tele.
Kama nimeandikiwa kufa very soon kama inavyosema, naiwe hivyo. Ila kinachonipa faraja ni kwamba siku moja ni hakika 100% wote tutakuwa tumemezwa na ardhi[emoji28].
Hujanielewa!! Narudia tena Mungu wa kweli hakuumba mtu afe mapema bila kutimiza kusudio lake. Km yupo kwako Siyo Mungu ninae mjua mimi huyo.
Sidanganyiki.vifo vya mapema binadamu huaishwa tu na watu wenye husda na ni wengi humu Duniani km wewe ulivotaka kunifanya nimekupinga kwa damu ya Yesu na imekuwa...umekwama na utakwama vibaya..Yesu ni wangu!!
Kila mwanadamu hapa Duniani ameumbwa kwa kusudio maalum.unaoona wanakufa mapema bila kushiba umri wanawaishwa na vibaraka wa shetani.
Km huyu shetani alimshawishi aue wapinzani wake akamsikiliza ndo haya sasa yametokea!! Angejawa na roho mtakatifu asingethubutu!!
Nyerere angemuua kambona kirahisi tu! Lkn rohi wa Mungu alimjaa.akaacha akimbie bila kuguswa!!
Father thom alitaka kumuua Nyerere. Akashindwa vibaya.huyohuyo nyerere wa upendo akantoroshea UK kiubweteeee!!
na siyo kila anae sali ana Mungu wa kweli!! big nooo!! Yaliyo nyuma ya pazia hujui kwa huyo huyajui!! Hata mchawi anasali.hata jambazi anasali kabla ya kuvunja lkn asiue na anafanikiwa kuiba.
Maliam Magdalena alikuwa cD hatari lkn alikuwa mpendwa wa Yesu na wa kwanza kumuona Yesu ktk ufufuo kwa nini?? Mpaka Mungu akupe hii siri...
Mtu Una kashfu watu wa Mungu waishi km mashetani?? Kweli?? Wamekukosea nini??? Hkn roho waMungu hapo!!!
Pambana na mijabari mibeberu huko siyo vitu vidogovidogo hivi maskini eti machinga?? Mwee!
Mungu hadhihakiwi!!! alikosa hekima rahisi sana. Kikwete alikula na wapinzani meza moja ikulu!! Huyo hapo afya buheri!!
Mungu ana wapinzani wake yaani shetani na wenzake anaweza kuwafinya tu!! Wakapotea lkn anawavumilia wapo. Sasa yeye ni nani kumpita Mungu???
Kwanza ilikuwa rahisi tu abgesurugishwa na hao alio taka kuwaua km nyoka yakaisha awamu ya mwisho hii. Akaw salama!! Tena akaenda mbali zaidi eti atawale milele!!
Humo ndani akaondoa wenye roho mtakatifu akajaza vishetani.havi kumshauri kutubu kabla ya kifo!!
Ajili ya matendo yake!!
Angalia Nyerere aliombewa alipoondoka hapa. mpaka kaburini ni sala na alipata mda wa kutubu!!
lkn huyu ni ghafla bin vuuuu!! Kafa!! Wapiga kura wake fake waldaanganywa sana mara yuko Ikulu anafanya kazi zake! Mara sijui mama weee!! Huoni ni tatizo au shetani amekufunga akili na macho....
Alitumbua sana hovyo hovyo! Tuu! wengine wakafia jela huko!!
akaacha wenye maono na neeema akajaza vishetani ambavyo havina Mungu. Wachache wakafanya kazi kwa hofu!!sasa hofu mpaka lini??
Wenye akili zao wakasepa kijanja!! Hata Makonda alisepa kijanja!! Alimbeba mno tena wazi wazi mpaka kijana kaogopa yule...
Hata aieleweki vibaraka mara viseme kafa kwa Atrial fibrillation!! Mara covid yaani vurugu tupu!!
Nyerere alijua kifo hichooo!! akatubu hadharani akatuombea wa Tz wote. Unaona!! Alivo kuwa mtu wa watu??? Ohooo! Nyerere weee! Mungu msamehe!!