Yaliyojiri Zanzibar kuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli

Mnahangaika sana na marehemu muacheni aende, watu kujitokeza kumuaga msitafute visingizio, uwanja wa uhuru wamekanyagana wamekufa RIP, hawakupelekwa na lumumba wale.

Ili upinzani uwe na maana, sio kupinga kila kitu hata kwa hoja za kitoto, vingine nyamaza vipite tu.
 
Acheni kejeli, ni JPM ni mpendwa wa wengi, acheni wamuoge ili wapate closure, kama mnaona wivu sana mwambieni Lissu na yeye afe aagwe na mashoga zake huko Belgium.
Hata Maalimu Sefu ni mpendwa wa wengi lakini hatuyaona tunayoyaona
 
Mi MWANAUME, now sema utakacho, mpunguze mihemko kwa haya mambo, kama kuibiwa kura hata mimi niliibiwa, we unaumia zaidi kwasababu gani? au ndio una hisia za kike?
 
Viongozi mbalmbali wa serikali ya mapinduzi Zanzibar tayari wameshawasili uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume International Airpirt , Zanzibar tayari kuupokea mwili wa Dk John Magufuli ambao unatokea uwanja wa ndege Dodoma
 
Hauna tofauti na dada zako kitabia. Hicho ndio nlichotaka kusema.[emoji41]
Mpuuzi, kuandika kwa ku-bold haina maana una pointi za msingi, roho inakuumia nini watu wakijitokeza kumuaga marehemu mpaka utunge vijisababu vya kike, una gubu kama mwanamke.

Huwezi nielewa mimi sio nyumbu kama wewe, mwanaume haangaishwi na marehemu, anamuacha akapumzike, sio kumsindikiza marehemu kwa mdomo kama mcheza vigodoro, umevaa dera la rangi gani leo?
 
Hili Swali kamuulize Mkewe Janet pamoja na Wanawe Marehemu hawa Saba ( 7 ) Wafuatao tafadhali..

1. Suzana
2. Edna
3. Joseph
4. Ruth
5. Jesca
6. Jurgen
7. Jeremiah

Ukinihoji Mimi utakuwa unanionea mno.
Nifanyie connection namba za Ruth mkuu
 
Acheni kejeli, ni JPM ni mpendwa wa wengi, acheni wamuoge ili wapate closure, kama mnaona wivu sana mwambieni Lissu na yeye afe aagwe na mashoga zake huko Belgium.
Mwisho atanuka sasa mkuu watu wakimbie, angekuwa hai angewazaba makofi coz mnamdhalilisha kwakuwa kashakata ringi.
 
Marehem atakuwa analalama sana huko alipo kwa jinsi wanavyomzungusha.
 
Inafikia hatua hizi taarifa zinaanza kuchosha kiukweli,afadhali tuzike tuendelee na Maisha mapya na Mama Samia.
 
Wivu unakusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…