Yaliyoko Simu2000 yanaumiza na kuhuzunisha sana

Haya mambo yakiendelea hivi na kwingine ni wazi Tanganyika inarudishwa utumwani

Mwanzoni mwa wiki hii kituo kizuri cha daladala cha Mawasiliano Simu 2000 kilifungwa rasmi na fremu zote zinazohudumia kutoka ndani ya kituo kuvunjwa ili kumpisha mwekezaji mpya anayetaka kuweka karakana ya mabasi ya mwendokasi

Kwa siku tatu mfululizo pale Simu 2000 ilikuwa ni zogo hasa nyakati za jioni kwakuwa magari ya abiria toka kona zote za jiji yalikuwa yanasimama barabarani kupakia na kushusha abiria

Sasa zimechukuliwa hatua sijui ni za dharura ama la, 'kutengeneza kituo kipya' ndani ya soko la vyakula na matunda lililoko pembeni ya kituo

Imagine sehemu ya soko hilo ilivyo ndogo na isiyo na miundombinu ya magari hasa ya abiria sasa ni sehemu ya kupakia na kushusha abiria 🤔😭
Mahali palipokuwa panafanyika mnada wa mahindi, miwa nk sasa ni maegesho ya daladala kupakia na kushusha abiria

Hapana zege, hapana lami, hapajasindiliwa ni mavumbi kwenda mbele na zile vurugu za daladala
Usalama na usafi wa vyakula vinavyouzwa hapo sasa uko shakani kutokana na miundombinu hafifu, vurugu za daladala na wingi wa watu

Wafanyabiashara waliokuwa ndani ya kituo nao sasa wanabanana na wengine hapo sokoni
Sasa hivi hali ni hiyo ya vumbi je ikinyesha mvuta patakuwaje?

Dhana ya maendeleo na maamuzi kengeufu

Sijui huyo mwekezaji ana nguvu kiasi gani na sina hakika walioruhusu kituo kigeuzwe karakana kama waliwaza kwa weledi, hekima na uzalendo.. Kuondoa watu wote wale na uwekezaji wote ule na kusababisha adha ya usafiri na ongezeko la gharama kwa abiria na usumbufu mwingine mwingi ni maamuzi yenye kutatiza mno na shaka kubwa juu ya hekima ya waliobariki hilo zoezi!

Hata hivyo kama ilibidi kupisha maendeleo mengine basi haya yaliyokuwepo tayari yangetafutiwa mbadala mapema na kabla ya haya mapya. Nina hakika mwekezaji mpya kalipa pesa kulipata lile Eneo, sasa kwanini pesa hizo zisitumike kutengeneza mbadala wa kilichokuwepo ili kuepusha usumbufu, hasara na adha kwenye maisha?

Kwanini mwananchi mwenye nchi yake anayepaswa kupewa heshima, thamani na kipaumbele namba moja anageuzwa kama raia wa daraja la pili? Mtumwa anayepaswa kutii kila agizo bila kuhoji hata kama haki zake za msingi zinapokwa? Aende wapi sasa🥺

Pale Simu 2000 kuna kila aina ya harufu ya uvundo mkali wa maadili na uzalendo.. Waliofanya hiyo dili wakakubali sijui walipewa nini huko na walisainishwa mikataba ya aina gani huko! Maana ni wazi mwenye eneo kacharuka anataka eneo lake na wao walikuwa bado hawajajiandaa kulikabidhi kwake!

Soma Pia:
Wanaoumia na kuteseka sasa ni wananchi wenye nchi yao! Lakini la kushangaza zaidi vyombo vya habari karibia vyote hakuna hata kimoja kilichoripoti hali ilivyo simu 2000 .

Je wametishwa? Na nani?
Kama mwekezaji kafaulu kufanya hivyo pale Mawasiliano Simu 2000 tujiandae kwa machungu mengi zaidi.

Tanganyika...!🤔🙇🏿‍♂View attachment 3100763
Maendeleo ya wananchi ambayo hayawahusishi wananchi kuyapanga
 
Mbona unataka kutengenezea fitina?
Sawa,, hebu Tafuta neno linalosomeka BRT isijengwe kutoka kwenye thread ya Mshana Jr
Mkuu hapo utaumiza kichwa bure. Hao wanaitwa PRAISE TEAM. Kazi yao ni kusifu chochote kile kinachofanywa na serikali ya CCM. Kama hujawahi kukutana nao basi huyo ni mmoja wao. Mimi ninao wengi sana wapo kwenye Ignoring List.
 
Kuna stand mpya mwenge na haina magari zaidi ya yanayo kwenda mabibo, kwanini wasifute TLB ya mawasiliano wawape ya Mwenge ikiwezekana na gari za kwenda gerezani na posta zianzie mwenge, maana ile stand ni kubwa na haina inachofanya
Haya mambo yakiendelea hivi na kwingine ni wazi Tanganyika inarudishwa utumwani

Mwanzoni mwa wiki hii kituo kizuri cha daladala cha Mawasiliano Simu 2000 kilifungwa rasmi na fremu zote zinazohudumia kutoka ndani ya kituo kuvunjwa ili kumpisha mwekezaji mpya anayetaka kuweka karakana ya mabasi ya mwendokasi

Kwa siku tatu mfululizo pale Simu 2000 ilikuwa ni zogo hasa nyakati za jioni kwakuwa magari ya abiria toka kona zote za jiji yalikuwa yanasimama barabarani kupakia na kushusha abiria

Sasa zimechukuliwa hatua sijui ni za dharura ama la, 'kutengeneza kituo kipya' ndani ya soko la vyakula na matunda lililoko pembeni ya kituo

Imagine sehemu ya soko hilo ilivyo ndogo na isiyo na miundombinu ya magari hasa ya abiria sasa ni sehemu ya kupakia na kushusha abiria 🤔😭
Mahali palipokuwa panafanyika mnada wa mahindi, miwa nk sasa ni maegesho ya daladala kupakia na kushusha abiria

Hapana zege, hapana lami, hapajasindiliwa ni mavumbi kwenda mbele na zile vurugu za daladala
Usalama na usafi wa vyakula vinavyouzwa hapo sasa uko shakani kutokana na miundombinu hafifu, vurugu za daladala na wingi wa watu

Wafanyabiashara waliokuwa ndani ya kituo nao sasa wanabanana na wengine hapo sokoni
Sasa hivi hali ni hiyo ya vumbi je ikinyesha mvuta patakuwaje?

Dhana ya maendeleo na maamuzi kengeufu

Sijui huyo mwekezaji ana nguvu kiasi gani na sina hakika walioruhusu kituo kigeuzwe karakana kama waliwaza kwa weledi, hekima na uzalendo.. Kuondoa watu wote wale na uwekezaji wote ule na kusababisha adha ya usafiri na ongezeko la gharama kwa abiria na usumbufu mwingine mwingi ni maamuzi yenye kutatiza mno na shaka kubwa juu ya hekima ya waliobariki hilo zoezi!

Hata hivyo kama ilibidi kupisha maendeleo mengine basi haya yaliyokuwepo tayari yangetafutiwa mbadala mapema na kabla ya haya mapya. Nina hakika mwekezaji mpya kalipa pesa kulipata lile Eneo, sasa kwanini pesa hizo zisitumike kutengeneza mbadala wa kilichokuwepo ili kuepusha usumbufu, hasara na adha kwenye maisha?

Kwanini mwananchi mwenye nchi yake anayepaswa kupewa heshima, thamani na kipaumbele namba moja anageuzwa kama raia wa daraja la pili? Mtumwa anayepaswa kutii kila agizo bila kuhoji hata kama haki zake za msingi zinapokwa? Aende wapi sasa🥺

Pale Simu 2000 kuna kila aina ya harufu ya uvundo mkali wa maadili na uzalendo.. Waliofanya hiyo dili wakakubali sijui walipewa nini huko na walisainishwa mikataba ya aina gani huko! Maana ni wazi mwenye eneo kacharuka anataka eneo lake na wao walikuwa bado hawajajiandaa kulikabidhi kwake!

Soma Pia:
Wanaoumia na kuteseka sasa ni wananchi wenye nchi yao! Lakini la kushangaza zaidi vyombo vya habari karibia vyote hakuna hata kimoja kilichoripoti hali ilivyo simu 2000 .

Je wametishwa? Na nani?
Kama mwekezaji kafaulu kufanya hivyo pale Mawasiliano Simu 2000 tujiandae kwa machungu mengi zaidi.

Tanganyika...!🤔🙇🏿‍♂View attachment 3100763
 
Kuna stand mpya mwenge na haina magari zaidi ya yanayo kwenda mabibo, kwanini wasifute TLB ya mawasiliano wawape ya Mwenge ikiwezekana na gari za kwenda gerezani na posta zianzie mwenge, maana ile stand ni kubwa na haina inachofanya
Nafikiri ndo lengo la kuifuta stend ya mawasiliano.
They're right Kwa pale,Maana uwepo wa stendi ya mawasiliano una tatzo uwepo wa stendi ya mwenge.
 
Mapori ya chuo gani mkuu? Kama ni mapori ya UDSM mule ndani kuna mambo ya kijeshi hufanyika .
Mambo gani ya kijeshi wakati jeshi lenyewe lina poli lake. Nadhani unazungumzia kile kikosi cha Komandi ya anga. Wale poli lote la Changanyikeni ni lao.
 
Haya mambo yakiendelea hivi na kwingine ni wazi Tanganyika inarudishwa utumwani

Mwanzoni mwa wiki hii kituo kizuri cha daladala cha Mawasiliano Simu 2000 kilifungwa rasmi na fremu zote zinazohudumia kutoka ndani ya kituo kuvunjwa ili kumpisha mwekezaji mpya anayetaka kuweka karakana ya mabasi ya mwendokasi

Kwa siku tatu mfululizo pale Simu 2000 ilikuwa ni zogo hasa nyakati za jioni kwakuwa magari ya abiria toka kona zote za jiji yalikuwa yanasimama barabarani kupakia na kushusha abiria

Sasa zimechukuliwa hatua sijui ni za dharura ama la, 'kutengeneza kituo kipya' ndani ya soko la vyakula na matunda lililoko pembeni ya kituo

Imagine sehemu ya soko hilo ilivyo ndogo na isiyo na miundombinu ya magari hasa ya abiria sasa ni sehemu ya kupakia na kushusha abiria 🤔😭
Mahali palipokuwa panafanyika mnada wa mahindi, miwa nk sasa ni maegesho ya daladala kupakia na kushusha abiria

Hapana zege, hapana lami, hapajasindiliwa ni mavumbi kwenda mbele na zile vurugu za daladala
Usalama na usafi wa vyakula vinavyouzwa hapo sasa uko shakani kutokana na miundombinu hafifu, vurugu za daladala na wingi wa watu

Wafanyabiashara waliokuwa ndani ya kituo nao sasa wanabanana na wengine hapo sokoni
Sasa hivi hali ni hiyo ya vumbi je ikinyesha mvuta patakuwaje?

Dhana ya maendeleo na maamuzi kengeufu

Sijui huyo mwekezaji ana nguvu kiasi gani na sina hakika walioruhusu kituo kigeuzwe karakana kama waliwaza kwa weledi, hekima na uzalendo.. Kuondoa watu wote wale na uwekezaji wote ule na kusababisha adha ya usafiri na ongezeko la gharama kwa abiria na usumbufu mwingine mwingi ni maamuzi yenye kutatiza mno na shaka kubwa juu ya hekima ya waliobariki hilo zoezi!

Hata hivyo kama ilibidi kupisha maendeleo mengine basi haya yaliyokuwepo tayari yangetafutiwa mbadala mapema na kabla ya haya mapya. Nina hakika mwekezaji mpya kalipa pesa kulipata lile Eneo, sasa kwanini pesa hizo zisitumike kutengeneza mbadala wa kilichokuwepo ili kuepusha usumbufu, hasara na adha kwenye maisha?

Kwanini mwananchi mwenye nchi yake anayepaswa kupewa heshima, thamani na kipaumbele namba moja anageuzwa kama raia wa daraja la pili? Mtumwa anayepaswa kutii kila agizo bila kuhoji hata kama haki zake za msingi zinapokwa? Aende wapi sasa🥺

Pale Simu 2000 kuna kila aina ya harufu ya uvundo mkali wa maadili na uzalendo.. Waliofanya hiyo dili wakakubali sijui walipewa nini huko na walisainishwa mikataba ya aina gani huko! Maana ni wazi mwenye eneo kacharuka anataka eneo lake na wao walikuwa bado hawajajiandaa kulikabidhi kwake!

Soma Pia:
Wanaoumia na kuteseka sasa ni wananchi wenye nchi yao! Lakini la kushangaza zaidi vyombo vya habari karibia vyote hakuna hata kimoja kilichoripoti hali ilivyo simu 2000 .

Je wametishwa? Na nani?
Kama mwekezaji kafaulu kufanya hivyo pale Mawasiliano Simu 2000 tujiandae kwa machungu mengi zaidi.

Tanganyika...!🤔🙇🏿‍♂View attachment 3100763
mshana siku zote ukifanya maamuzi ya kisiasa kwa mambo yenye sheria na utaratibu, lazima ipo siku utakwama tuu. Na hili ni kwetu sote wananchi na serikali. Mambo mengi bongo tunaweka siasa. Siku viongozi na wananchi wakijifunza kuheshimu sheria na kanuni, ndo tutakuwa tumeianza safari ya maendeleo.
 
IMG-20240919-WA0042.jpg
 
View attachment 3101781
Kule Morogoro akili ni hiyohiyo, walifunga stand ya daladala ikageuzwa sehemu ya kuuzia dawa za nguvu za kiume
walifunga stand ya daladala ikageuzwa sehemu ya kuuzia dawa za nguvu za kiume
Ngozi nyeusi ukichanganya na uchadema matokeo yake uwendawazimu! Kwaakili yako eti kisa ulikua unauzia maembe hapo sokoni ndio unataka BRT isijengwe? Foolish
What a wasted manii... ! A single condom of Tsh 500/= could have solved a lot of dungs.!!!
 
View attachment 3101781
Kule Morogoro akili ni hiyohiyo, walifunga stand ya daladala ikageuzwa sehemu ya kuuzia dawa za nguvu za kiume
walifunga stand ya daladala ikageuzwa sehemu ya kuuzia dawa za nguvu za kiume
Ngozi nyeusi ukichanganya na uchadema matokeo yake uwendawazimu! Kwaakili yako eti kisa ulikua unauzia maembe hapo sokoni ndio unataka BRT isijengwe? Foolish
What a wasted manii... ! A single condom of Tsh 500/= could have solved a lot of
Nafikiri ndo lengo la kuifuta stend ya mawasiliano.
They're right Kwa pale,Maana uwepo wa stendi ya mawasiliano una tatzo uwepo wa stendi ya mwenge.
Wafanye maamuzi ya haraka maana abiria wanateseka sana kwa sasa kwa msongamano na vumbi hapo bado mvua
 
View attachment 3101781
Kule Morogoro akili ni hiyohiyo, walifunga stand ya daladala ikageuzwa sehemu ya kuuzia dawa za nguvu za kiume
walifunga stand ya daladala ikageuzwa sehemu ya kuuzia dawa za nguvu za kiume
Ngozi nyeusi ukichanganya na uchadema matokeo yake uwendawazimu! Kwaakili yako eti kisa ulikua unauzia maembe hapo sokoni ndio unataka BRT isijengwe? Foolish
What a wasted manii... ! A single condom of Tsh 500/= could have solved a lot of
Sio kweli,stand ya makumbusho ilikuwa ya kudumu,ya mwenge ndio ilikuwa ya muda enzi zile
Sasa sijajua nn kimefanya stand ya Mwenge irudi na Kama kweli ya makumbusho inaondoshwa Basi utakuwa ni muendelezo ya mipango ya kukurupuka iliyozoeleka nchi hii
Makumbusho ni kweli kuna permanent stand ya kitambo lakini sio hii ya sasa waliyoipa hadhi ya stand kubwa
 
Back
Top Bottom