Yaliyomfika Rais Ali Hassan Mwinyi katika utawala wake 1985 - 1995

Kipindi cha JPM asingethubutu kuandika huu ujinga,alikuwa anaandika kiuogauoga sasa anamwaga sumu adharani snajua hakuna wa kumfanya kitu ni mpotoshaji mkubwa huyu mzee

Anajua hana maisha marefu kwahio kazi yake ni kuhubiri chuki, kueneza uongo na ufitini kwene makundi ya watu ili kuwajaza watu jazba, kutengeneza utengano na kusababisha chuki dhidi ya jamii ya wakristu nchini. Mzee anataka atuachie vijana msala leo hii kikinuka na taifa kupalanganyika yeye hana cha kupoteza kwasababu hana nguvu za maisha marefu huko mbeleni kama sisi. Taifa hili limejengwa sana na umoja mpk hapa lilipo mwalimu hakufanya kazi ndogo ya kuunganisha jamii zote zene mamia ya imani tofauti afu gafla anatokea kikongwe mmoja kazi yake ni kuwasema vibaya watu hasa wa jamii tofauti kiimani na yeye. Tutaendelea kumwambia ukweli wala hatutasita kumkumbusha umuhimu wa umoja, amani na mshikamano.
 
Kwangu mimi Mzee Mwinyi alikuwa raisi bora sana tu, alifanya mengi, alikuwa na utu, huruma na ubinadamu siyo kama awamu ya 4 na hii ya sasa, ambayo imejaa majungu, fitina na wizi.

Maisha marefu Mzee Alhaji Ali Hasani Mwinyi!
 
Anajua hana maisha marefu kwahio kazi yake ni kuhubiri chuki, kueneza uongo na ufitini kwene makundi ya watu ili kuwajaza watu jazba, kutengeneza utengano na kusababisha chuki dhidi ya jamii ya wakristu nchini. Mzee anataka atuachie vijana msala leo hii kikinuka na taifa kupalanganyika yeye hana cha kupoteza kwasababu hana nguvu za maisha marefu huko mbeleni kama sisi. Taifa hili limejengwa sana na umoja mpk hapa lilipo mwalimu hakufanya kazi ndogo ya kuunganisha jamii zote zene mamia ya imani tofauti afu gafla anatokea kikongwe mmoja kazi yake ni kuwasema vibaya watu hasa wa jamii tofauti kiimani na yeye. Tutaendelea kumwambia ukweli wala hatutasita kumkumbusha umuhimu wa umoja, amani na mshikamano.
Ujamaa...
Huenda hujui ukweli au unaujua unakutisha.

Serikali na fursa zimegawanyika kwa 20:80.

Hili ni tatizo kubwa linalotukabili.
 
Mnamchokoza wenyewe mkipewa fact, mnashindwa kujibu hoja kwa hoja mnabaki kuandika hayo uliyoandika.
 
Nani anaemchokoza mwanzilishi wa hoja ni yeye. Fact zipi hizo. Hoja ipi ilioshindwa kujibiwa. Angalia majibu yangu na majibu ya msemaji wa familia ya wakimbizi akina sykes utagundua majibu yake yanaenda sehemu tofauti na mjadala yeye kaleta Habari za mwinyi kajibiwa vyema tena majibu ya kuchoma moyo wake gafla kaja na fikra zake za 20/80. Iwapo huwa unasoma maandishi ya mtu huyu basi utakubaliana vyema nami hapo juu ila ukiweka upofu utapotoka. Tutakabiliana vyema jukwaa hili lakini daima nasisitiza umoja amani na mshikamano kama alivyofanya hayati baba wa taifa.
 
Mimi si msemaji wa familia ya Sykes.
Labda kwa mukhtasari nikufahamishe uhusiano wangu na akina Sykes.

Kleist Sykes nyumba yake katika miaka ya 1920 pale Mtaa wa Kipata ilikuwa no. 69 na nyumba ya babu yangu Salum Abdallah ilikuwa no. 68.

Kleist Sykes alikuwa Accounts Clerk na babu yabgu alikuwa mfua chuma (foundry) Tanganyika Railways.

Wake zao walikuwa mashoga na watoto wao mchezo mmoja na wakisoma shule moja Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika Muslim School.

Sisi wajukuu tumezaliwa tumezikuta hizi familia majirani ndugu.

Udugu huu ndiyo umeniwezesha mimi kujua mengi kuhusu Kleist Sykes pia na babu yangu Salum Abdallah ambae na yeye ana historia yake katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Sasa tuje katika suala la ukimbizi.
Kleist Sykes kazaliwa German Ostafrika kama alivyozaliwa babu yangu.

Halikadhalika babu yangu baba yake Samitungo Mwekapopo, Mmanyema kutoka Belgian Congo aliingia German Ostafrika akiwa askari wa Wajerumani mamluki ndani ya jeshi la Wajerumani.

Hawa babu zangu hawakukimbia makwao waliondoka kwao kama askari kuja kupigana na Abushiri bin Salim Al Harith na Mtwa Mkwawa.

Huu ndiyo ukweli wa historia ya babu zangu na wala siionei aibu kuieleza.
Haya ndiyo matokeo ya ukoloni.

Lakini kizazi cha hawa Wazulu na Wamanyema wameandika historia ya kutukuka katika harakati za kupambana na ukoloni.

Umeandika umeghadhibika na ghadhabu yako ni kuwa hupendi kusikia historia ya wazee wangu katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Mimi naipenda nchi yangu na naitakia amani ya kweli.
Lakini penye dhulma nitasema bila ya hofu.

Historia ya uhuru wa Tanganyika ilipotoshwa na nimeiandika bila ya kumuogopa yeyote na ndiyo hii leo mnaisoma hapa JF na JF wakanitunza cheti na si wao tu waliopata kunitunza cheti wapo wengine wamenitunza kwa uandishi wangu wa historia.

Ama kuhusu Baba wa Taifa nimemueleza vizuri sana katika kitabu cha Abdul Sykes sehemu ya mwisho ya kitabu hicho.

Lipo tatizo la Waislam (20:80) na ndilo hili nalieleza siku zote.
 
Hivi we baba huwa una Nini kikusumbuacho kichwani? Hakuna mada humu ambayo hujazungumzia ama hujaiunganisha na dini!
Ni kwanini we'we Ni mdini Sana?
Mda wote unawaza na kuandika kuhusu dini hat kwenye mada zisohusu Hili.
Jibu...

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Sedo...
Bahati mbaya kuwa hupendi kusoma historia ya Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Mimi kichwani kwangu niko kama mtafiti yoyote yule aliyegundua kitu ambacho hakiko sawa na akakitafiti.

Angalia historia ya TANU ilivyoandikwa kabla ya mimi kuandika kitabu cha Abdul Sykes na itazame historia hiyo hivi sasa.

Wengi hamkuwa mnaijua historia hii.
Ushajiuliza kwa nini historia hii ilifutwa?

Huu ni uwanja huru na wengi wamefurahia uandishi wangu wa kusahihisha historia ya TANU.

Ikiwa wewe unakereka hakuna anaekulazimisha kusoma acha tu kunisoma.
Lakini bahati nzuri wengi wanapendezewa na kalamu yangu. kwa kuwa sasa ndiyo wanasoma historia ya kweli na inawahusu Waislam.

Kitabu cha Abdul Sykes tunakimbilia sasa toleo la tano.

1658781382344.jpeg
 
Kwa hakika kipindi cha utawala wa Mwinyi hakupungukiwa na watu waliokuwa wanaona raha kumshambulia.

Ilisikitisha kuwa kulikuwa na magazeti yalimpa nafasi Reverend Mtikila kumshambulia Rais.

Kuna baadhi ya vijana wa wakati ule waliona wana wajibu na dhima kubwa ya kumtetea Rais pale ilipodhihiri kuwa hakuwa na mtetezi.

Nilikuwa mmojawapo wa vijana walioamua kumtetea Rais Mwinyi.

Namsoma Rais Mwinyi, ''Mzee Rukhsa Historia ya Maisha Yangu,'' na natingisha kichwa kwa mengi ninayokutananayo.

Natingisha kichwa kwa kuwa baadhi ya matukio na mambo yaliyomo kitabuni mimi na wenzangu tuliyafahamu kwa undani na tuliyaandika kwa yale yaliyostahili kuandikwa na mengine tuliyanyamazia.

Hapo chini kuna "Memories" post niliyoandika baada ya kutoka kumbukumbu za Rais Ali Hassan Mwinyi.

Ukiwa umesoma kitabu cha Mzee Mwinyi na ukawa umesoma kitabu cha Abdul Sykes (1998) utaona kuna mambo muhimu na mazito yamepishana kwa kiasi kikubwa.

Nilipata kumpa kitabu hicho Mzee Mwinyi nikiwa na nia akisome na ajue mchango wa Waislam katika kupambana na wakoloni kuanzia enzi za Vita Vya Maji Maji 1905.

Picha yangu hiyo hapo chini nikimkabidhi Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kitabu cha Abdul Sykes.

May be an image of 4 people and people standing
Nawewe unatuchosha kutwa unazungumzia mambo ya kimila ya waarabu, na dini yao ya kishenzi.
 
Ujamaa...
Huenda hujui ukweli au unaujua unakutisha.

Serikali na fursa zimegawanyika kwa 20:80.

Hili ni tatizo kubwa linalotukabili.
Hi 20.80 umeileta tena?
Maana uliwahi kuandika nikakuuliza maswali ukademka tu.
Wengine hatusahau unavyo rob rob tu.
 
Nawewe unatuchosha kutwa unazungumzia mambo ya kimila ya waarabu, na dini yao ya kishenzi.
Bei...
Lakini huu ni uwanja huru mtu ana rukhsa ya kuandika apendacho hakatazwi.
Ikiwa wewe unachoka kunisoma unaacha kunisoma wala hulazimishwi.

Wala huna sababu ya kunitukana.
Hapa matusi hayaruhusiwi.
 
Hi 20.80 umeileta tena?
Maana uliwahi kuandika nikakuuliza maswali ukademka tu.
Wengine hatusahau unavyo rob rob tu.
Day...
Tatizo la 20:80 nimeliandika mara nyingi.

Ikiwa uliniuliza maswali nitakuwa nimekujibu ingawa inawezekana hukuridhika na majibu yangu.
 
Yes mi ni malaya kama marehemu muhammad tu alivyokuwa kicheche[emoji23] Hadi akamwingilia binti wa miaka 9 (alikuwa mbakaji)

Hapana mkuu hii haifai usiumize hisia za watu sisi pia huwa hatufrahii tukiskia bwana yesu Kristu katukanwa hadharani namna hii. Tuendelee kumkumbusha babu umuhimu wa umoja mshikamano na amani kama alivyofanya baba wa taifa kuliunganisha taifa hili mpaka leo hii licha ya mapungufu flani flani. akumbuke nadharia zake hazina fikra njema, pia hio 20/80 hio ni yake zaidi atambuke hakuna 50/50 Dunia hii huko visiwani ni 1/99. Atambue pia tabia za ndugu zake kama alivyo yeye walivyo na haiba za jazba, ufitini na kuvutia upande wao lakini babu akumbuke ndugu zake yaliyowakuta pale c/africa baada ya kujisahau sana kama yeye pili akumbuke yanayowakuta ndugu zetu wakristu kule Nigeria kisa ufitini wa magaidi walio kwene mgongo wa dini lakini pia akumbuke mchina mambo flani flani akawaweka ndugu zao wanaosema ni ndugu zao karantini kwa tabia flani flani ovu kama za mzee wetu. Yeye mwendo kaumaliza salama mda sio mlefu ataenda kula na kunywa na akina krest sykes akina abubakar mwilima, dossa aziz bila kumsahau John lupia japo mzee anayachukia majina haya sababu zipo wazi ila anataka tufarakane afu tutengane amesahau imani hizi wameoleana sana amesahau anapokula tende na maziwa mixa alkasusi asubuhi huku akina biliani mchana na futari usiku kule somalia upuuzi wa maandishi kama yake, utengano wao kijamii umewafanya wakafarakana mpk leo hii wanaongoza kwa njaa na kukimbia nchi mbaya zaidi wanakimbikia kwa wakatoliki ila sio kule kwa ndugu zao mashariki ya kati. Babu endelea kushiba kacholi, kashata na juice ya tende ila kikinuka utatafuta pa kutokea sio Abbas sykes wala Abdul msham au dossa aziz atamsaidia mwenzie kila mtu atakua busy kutafuta pa kutokea amani hii tusiitumie vibaya huu umoja tuudumishe pia mshikamano Uwe jadi yetu.
 
Imeandikwa nasaha nzuri ila kwa kitu kimoja.

Futa hilo neno "Babu," weka baba.
Itapendezesha ulichoandika.

Kwa nini?

Ukiniita "Babu," hujanipa heshima yangu umenikejeli kwa kuwa kwenu nyie wote wawili mimi kwa umri wangu wa miaka 70 ni baba kwenu.

Kwa kunikejeli umedhihirisha kile ulichotaka kuficha.

Ukirekebisha hili nitakupa fikra zangu kwa yote uliyoandika.

Sikumjibu huyu ndugu yetu kwa kuogopa asiendeleze matusi.

Nimekujibu wewe ingawa umenikejeli kwa kuwa angalau hukutukana umenikejeli tena mimi mtu tu si Mtume wa Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom