The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
mlimtetea Mwinyi kisa OIC sio jambo lolote la kisiasa;
Mzee katika jukwaa hili udini wako uonekana waziwazi,huo ni mfano wa mawazo finyu!
Yaani Mwinyi hakuwa na issue ngumu za kumtetea hadi OIC?,
Mzee katika jukwaa hili udini wako uonekana waziwazi,huo ni mfano wa mawazo finyu!
Yaani Mwinyi hakuwa na issue ngumu za kumtetea hadi OIC?,
Mdukuzi...
Bahati mbaya kwako huna lugha ya kistaarabu.
Ungejiepusha na naneno kama haya "chawa," na ukataka mjadala wa kisomi ningeandika hapa mambo ambayo sote tungenufaika.
Lakini nitakudokeza kitu.
Walikuja watu kutuomba msaada na ilikuwa katika sakata la OIC mwaka wa 1993.
Bunge limekuja juu dhidi ya Rais Mwinyi.
Wahariri wa magazeti yote hadi magazeti ya CCM yako dhidi ya Rais.
Rais alikuwa mpweke hana msaada wa yeyote.
Hapo tukaingia katika mapambano.
Barua yetu ya kwanza tulimwandikia Speaker wa Bunge Pius Msekwa.
Sikiliza ndugu yangu.
Barua ile iliwashtua.
Wakauliza hawa ni Waislam kweli?
Hawakupata kusoma barua kama ile.
Angalia hiyo picha ya gazeti la African Events (London) Rais Mwinyi yuko kwenye meli inayoshambuliwa baharini na mabomu.
Katika miji mikubwa tukamwaga barua zinazoeleza kwa nini Rais anapigwa vita na chama chake na watendaji wa serikali.
Ukiwa mstaarabu na unataka kusoma.
In Shaa Allah nitakusomesha na mjadala huu utapendeza.
